Ndugu zangu Wakenya jichungeni na Samaki.


Wakiwa na Kalamu Mikononi huku wakisubiri Kusaini Another Dumping Deal.
 

Mtoto anaeumwa kutokana na Ukosefu wa Lishe.
 

Dalili za Lead poisoning
 

Jamaa akitembeza Kitoweo chenye Mionzi huku akitafuta wateja.
 
Hii nchi ya Somalia inatakiwa ivamiwe kijeshi kwa nguvu tuigawane la sivyo itakuwa ni janga EA

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Baada ya Mlo Wenye Sumu Matukio kama Haya ni jambo la Kawaida.
 
Hiyo inaonesha tuu kama kuna athari au la, lakini haita zuia watu kuvua na si rahisi kufanya doria eneo lenye urefu wa zaidi ya 1000miles
Serikali ikiona Kuna viwango Vikubwa vya Mionzi Kwenye Samaki inaweza Kuchukua Hatua na Kuwaambia wananchi Kuwa samaki wameathiriwa na Mionzi na Sumu nyingine kwa hiyo inaweka Vituo Kila mahali kwenye Mwambao na Kila Mvuvi akivua Shehena yake anakwenda kuipima kama iko salama,Ila kitu cha Muhimu ni Elimu kwa Mlaji na Taarifa.

Angalia Sigara,..Sigara inaleta Saratani ya Mapafu lakini mvutaji anajua fika na Wameandika kwenye pakiti ya Sigara ila ila Gharama za Chemotherapy itazilipia kwa asilimia kubwa na Maisha yake.
 

Jikite zaidi hapa dunia imeshaharibika.😁lakini si kwa sahani ya Plastic,tumia sahani za Udongo au China.
 

Wasomali wameathirika Sana sasa huyu + AK47=Maafa Kwenye jamii masikini.
 
Wasomali wengi wanaamini Majini ndio yanayowasumbuwa wakati huohuo wanasaini yet Another Dumping Deal.

Wengi hukesha Misikitini na Hapo Alshabu huwatumia kwenda Kuvuruga Amani.
 
South Somalia ndio taifa la Kwanza la Mazombie hapa Ulimwenguni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…