Ndugu zangu Wakenya jichungeni na Samaki.


Kudaaadeki..Hapo anakwenda Kuteka Craft Carrier USS NIMITZ.
Ni mzima kweli huyu?!Radioactive Pirates.
 

Hili suala siyo la Mogadishu, Nairobi, EGAD, EAC wala AU, bali ni suala la UN. Madhara yanayotokana na huo ubaradhuri hauta muacha yeyote salama katika dunia hii. Kuwaacha watu waendelee kutupa sumu baharini eneo la Somalia ni janga kwa DUNIA nzima. Siyo Somalia ama egad ama EAC ama Afrika ndizo zitakazo athirika. Nimeongea kwa kurudia rudia ili kuonesha kuwa dunia kwa ujumla wake haita kuwa salama kwa kitendo kinachofanyika katika pwani ya Somalia.
 
Ni Kweli kitendo cha Meltdown ya Fukushima Baada ya Japanese Tsunami vitu vingi vilifika Pwani ya Magharibi ya USA vikiwa vingine ni Radioactive
 
Wakati huohuo Somaliland inafanya mambo ya Maendeleo na Kulinda Bahari yake kutoka kwa Maharamia.
 
View attachment 1042174
Mtoto anaeumwa kutokana na Ukosefu wa Lishe.
Cc. FaizaFoxy. Hivi ndivyo hali ilivyo kule Puntland na Jubaland, Somaaliya. Mabwana zako alshabaab wanafunga mabarabara na kuwatoza ada wasomali masikini wasio na hatia. Cha kutamausha zaidi ni kwamba huwa wanavamia misafara ya malori ambayo yanaleta misaada ya vyakula na madawa kwa hawa wasomali wenzao ambao wanakufa kwasababu ya njaa kila uchao, kisha wanauza vyakula hivyo na madawa ili wanunue mirungi na silaha. Mtazame vizuri machoni huyo maskini wa Mungu, muislamu mwenzako, ndio ufahamu vizuri laana inayowaandama nyie mazombi.
 
Sasa unawaonya Kenya peke yao kana kwamba wanashea bahari na Somalia alafu sisi wengine tuna ya kwetu na Zanzibar.
 
Sasa unawaonya Kenya peke yao kana kwamba wanashea bahari na Somalia alafu sisi wengine tuna ya kwetu na Zanzibar.
Hahahahaaa!! Kuna Posti nilisema Visiwani
 
Samaki wa Somalia wawekewe guaranteen wasitoke nje ya eneo lao
 

Mikondo ya Bahari ya Hindi Sisi Mkondo wetu ni wa Msumbiji Tunaweza kuwa Salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…