Ndugu zangu wana Yanga tujipongeze kwa hili

Ndugu zangu wana Yanga tujipongeze kwa hili

Tumefanya Simba Day hii ni ya 12 since 2009
Katika hizo zote, tulizojaza uwanja wala usiulize....

Last season CAF CL, tumeanza kujaza uwanja na Mbabane Swallows, Nkana Red Devils, JS Soura, Al Ahly, As Vita na TP Mazembe... game hizo zote rangi nyekundu 60k+ people zilikua ground...

Halafu Utopolo leo wanaleta nyenyenyee....
 
Back
Top Bottom