Uchaguzi 2020 Ndugu zangu wanaCCM kweli tulikosea, tuchutame

Siku hizi makamanda wa CHADEMA wanajigeuza na kuwa wanaCCM huku wakitoa eti ushauri na maoni yao!

Unatumia picha ya Marehemu aliyekuwa Mbunge wa Mafia, Abdulkarim Shah halafu unajiita mwanaCCM!

Hizi ni propaganda za kitoto sana!
Usilinganishe na were kujiita MsemajiUkweli wakati ni msema uongo mwandamizi.
Anayejigeuza ni wewe
 
Hali ni kama hii kwa sasa!
 
Wewe siyo CCM endelea kujitekenya mwenyewe na kucheka
 
Sasa ndio atajua alifikiri miaka mitano ni mingi sana ,atapigiwa kura na flyover Madaraja, Stiegersgorge , Standard Gauge na Bombadier.
 
Siku hizi makamanda wa CHADEMA wanajigeuza na kuwa wanaCCM huku wakitoa eti ushauri na maoni yao!

Unatumia picha ya Marehemu aliyekuwa Mbunge wa Mafia, Abdulkarim Shah halafu unajiita mwanaCCM!

Hizi ni propaganda za kitoto sana!
Vipi hayo aliyoorodhesha hayapo mkuu au Ni beberu aliyepo ng'ambo haoni
 
Kama ni kura za halali hata akipata asilimia 100% ni sawa tu apate ....
 
Hongera umenena vyema,,,ongezea na anguko la elimu Mana elimu imeshuka sana,,,kwa Mara ya pili naona wanafunzi wakikaa chini,,,huku waheshimiwa wakijipongeza kwamba kila kitu kipo okay.
Big up
 
Ukiona vijana wasomi waliojitokeza katika kuomba ubunge hiyo Ni dalili ya anguko la ajir katika sekta rasmi na isiyo rasmi.
 
Kibaya zaidi flyover zenyewe ni smenti iliyowekwa juu ya barabara iliyopo,hakuna kitu Cha kiwango Cha chini Kama hizo top road Wala siyo flyover,kibaya zaidi ninproject za mkwere.
 
Siku hizi makamanda wa CHADEMA wanajigeuza na kuwa wanaCCM huku wakitoa eti ushauri na maoni yao!

Unatumia picha ya Marehemu aliyekuwa Mbunge wa Mafia, Abdulkarim Shah halafu unajiita mwanaCCM!

Hizi ni propaganda za kitoto sana!
Hoja hujibiwa kwa HOJA,lakini kama huna hoja ya kujibu ni busara kukaa kimya.
 
Ndugu zangu tuungane ili kuutokomeza huu utawala wa nguvu ya chuma, saa ya ukombozi ni sasa.
 
Ccm walishazoea kulisha watu matango pori ndo maana akitokea mmoja wao akasema ukweli ataambiwa ni CHADEMA hivyo siwashangai. Akitokea mtu akasema magu ni YESU huyo ndiye mzalendo akitokea mwingine akasema magu ni binadam kama walivyo wengine hakika huyu atafunguliwa kesi ya uhaini.
 
Heshima yako mkuu ww ndio mwana ccm unaejitambua hongera mwenyezi Mungu akupe maisha marefu uzidi kufanikiwa kwa kila ufanyalo make umeongea Akili tupu bravo mkuu kwanini ccm wasiwe kama we we
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…