Uchaguzi 2020 Ndugu zangu wanaCCM kweli tulikosea, tuchutame

Dunia nzima hakuna tajiri aliyeajiriwa
Hizi ngonjera za ajira za serikali punguzeni
Tumia akili yako
 
Dunia nzima hakuna tajiri aliyeajiriwa
Hizi ngonjera za ajira za serikali punguzeni
Tumia akili yako
Ndio maana nimeseme hapo kama umesoma vizuri ....MADAKTARI NA MAPROFESA WALIOPO KWENYE SIASA WANGEKUWA MFANO MZURI WA KUJIAJIRI .....huwezi kusema mtu ajiajiri wakati wewe mwenye mtaji umeshindwa kujiari umekimbilia kwenye siasa ni UNAFIKI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…