Ndugu zangu yamenikuta, nina tatizo kubwa la low sperm kiasi cha milioni nane

Ndugu zangu yamenikuta, nina tatizo kubwa la low sperm kiasi cha milioni nane

zefa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
440
Reaction score
300
Ni matumaini yangu muwa wazima wa afya.moja kwa moja naingia kwenye mada.Ilikuwa juzi tuilitoka kumwona dr.kwa mambo ya kupima uzazi ikaja kubainika nina tatizo kubwa la low sperm kiasi cha milioni nane .naombeni msaada wenu kama kuna dawa litakalotibu hili tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
C24/7 itakufaa mkuu nitafute kwenye namba hii 0714 412 412/0786 437 712/0718 922 168

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karanga mbichi mkuu, maharage mengi, samaki wabichi tafuna na carroti sana.

Alafu pia kuna mzizi mmoja wa kimaasai unaitwa "Ngororiii" unautafuna utakusaidia sana kwenye show zako yaani hadi wife ataniletea zawadi kwa kukujulisha kuhusu hii kitu.
 
Unaitwa mkongoraa, watu wakiokulia Arusha watakua wanaufahamu vizuri.
 
Pole mkuu hilo tatizo kitaalam laitwa Oligospermia
Husababishwa na

Joto ........joto hupunguza uzalishaji wa sperm ....ndio maana mapumbu yawanyama( binadamu). yapo nje yananing'inia

Unene ....watu wanene kutokana na kua na mafuta mengi Mara nyingi Husababisha korodan kuzungukwa ma layer ya mafuta ..sasa mafuta huzuia joto lispotee kwaiyo joto Lina harib uzalishaji wasperm.

Kazi zakukaa muda mrefu ..mfan...madereva na maboda boda ...unazalisha joto sanaaa .

Kufanya ngono Mara kwamara .

Uvutaji wa sigara ,,,sigara inaharibu uzalishaji wa sperm na motility yake

,unywaji pombe ,,,pombe hupunguza shahawa nahata hupunguza uzalishaji wa homon ya testesteron .

Mawazo hupunguza uzalishaji wa sperm.

Madawa km erthromycin na gentamycin n.k pia hupunguza sperm count .

MATIBABU .

KM LOW SPERM KWASABUBYA INTERNAL FACTOR KWAMFANO VARICOCELE INABIDI UFANYIWE SURGERY

KM NISABABU YA INFECTIONS NDAN YA URINARY AU REPRODUCTIV TRACT BASI ANTIBIOTICS ZITAHUSIKA.

KM NISABABU YA HOMONE IMBALANCE BASI PIA LAZIMA UTUMIWE MADAWA KWAAJILI YAKUBALANC HORMONE ZAKO.

mwishon wahabar .....

Sema nakushauri embu badili life style yako kwanza ( epuka izo sababu nlotaja hao juu) ALAFU FANYA MAZOEZI HUKU UKIWA UNAKULA WELL BALANCED DIET.

pole sana mkuu.
 
Unaitwa mkongoraa, watu wakiokulia Arusha watakua wanaufahamu vizuri.
Haha aisee hata moshi tuliula sana sikujua kumbe tulikuwa tunakula kinga!

Anyway, low sperm count na weak sperms sidhani kama ni tatizo linalofanana. So, kama ni tatizo ambalo halitibiki asiwe na wasiwasi kama ana uwezo wa kumhudumia mwanamke.
Kwenye kuzalisha teknolojia imekua sana aidha wanaweza kumuwekea mbegu huyo mpenzi wake karibu kabisa na yai kwa kuwa ni chache basi hazitakufa zote njiani.
Njia ya pili ni kuzikusanya na kumuwekea huyo mwenza wake ili zife zitakazokufa ila kwa kuwa zipo nyingi basi kuna moja itakayofika.

Cha maana ni kuthibitisha kuwa ni low sperm count pekeeama inaambatana na mengine?!!!

[HASHTAG]#mbeguMojaTU[/HASHTAG]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom