Ndugu zanguni, ukipewa lift usitoe tena changamoto kwa aliyekupa mpaka akajuta

Wewe huna gari.Lift tu mpaka umuandike JF.Kweli Fukara akipata ataandika hadi JF ila umnifurahisha kwani ni comedy yangu ya kwanza kwa 2021.Kapicha kake ingependeza zaidi
 
Hii si script ya movie ya comedy kweli?

No good deed goes unpunished.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna jamaa yangu yeye ukimpa lifti mkikaribia viwanja vya bata au sehemu ina mademu zake basi atahakikisha anakutoa ili aendeshe yeye, na kiumri ni mkubwa kuliko mimi maana ningesema ni utoto.

Kwakua nilishamjua huwa namuachia nakaa nyuma.
 
Wewe huna gari.Lift tu mpaka umuandike JF.Kweli Fukara akipata ataandika hadi JF ila umnifurahisha kwani ni comedy yangu ya kwanza kwa 2021.Kapicha kake ingependeza zaidi
andoza wewe ukisema sina gari na ninalo haiondoi ukweli kuwa ninalo. Kama ambavyo ngesema sina na ukasema ninalo hiyo isingenipa gari. Hivyo suala la wewe kuamini au kutokuamini halina athari yoyote kwangu 😁
 
Pengine yenye mwenyewe ndo aliyepewa lift na kujamba njia nzima. JF bwana...[emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo jina lako kwa kabila letu maana yake ni mlamba sehemu ya kutolea haja kubwa. Wewe umejiitaje hilo jina 😂😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka kwa sauti
 
Nimecheka, na business card anayo na anaachia ushuzi,mbele za watu, uuuuwiii
Watu nadhani wakienda vijijini wanakula mambo mengi mengi sana. Kilichonishangaza dada aliamua tu kujiachia wala hakutaka jibana. Of course nami nikiwa peke yangu huwa najiachia tu kwa uhuru sana.
 
Watu nadhani wakienda vijijini wanakula mambo mengi mengi sana. Kilichonishangaza dada aliamua tu kujiachia wala hakutaka jibana. Of course nami nikiwa peke yangu huwa najiachia tu kwa uhuru sana.
Au maskini walimfanyia vitu vibaya.

Mi nina aibu sana mbele za watu ssiwezi fanya hivyo,
 
hongera kwa kumiliki gari mkuu
 
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo dada katisha kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…