Ndugu zanguni, ukipewa lift usitoe tena changamoto kwa aliyekupa mpaka akajuta

Umekwepa masela wangapi hadi kumfikia huyo mjambaji, gari likibuma unawatafuta hao hao masela, kweli wewe chizi maarifa...
😂😂😂😂 Likibuma nawatafuta wanasukuma nawalipa..lisipopona unadhani ntalala vipi na masela njiani usiku? Acha kabisa wewe. Huyu hata gari ingeharibika tungelala bila shida.ingawa najua hapo ndo usiku kucha angekuwa anajamba tu. Ni bora kuliko kuwa unajambiwa na mwanaume mwenzio
 
Kama ulishindwa kumshusha huyo dada ambaye aliharibu ndani ya gari utawezaje kumshusha mtu kwakuwa mnabishana mambo ya Messi na Ronaldo?
Huyo wa kubishana mambo ya messi na ronaldo atakuwa mwanaume. Huyo sijiulizi hata mara mbili. Namshusha.
 
Kuna vipimo vidogo vya kujitathmini kama una akili timamu au ni taahira baada ya kutimiza miaka 18.

1. Ukiwa una miaka 18 ni mtu uliyekomaa kiakili na kujua baadhi ya mambo uliyofichwa na wakubwa zako mfano. Unamwona bahati mbaya binti kapatwa na siku zake gafla halafu unaanza kupiga kelele na kumzomea na kuonyesha watu wewe una mtindio wa ubongo wewe ni taahira.

2.Upo katikati ya watu bahati mbaya mmoja unatoa ushuzi bila kujali ukali na ukubwa wa kisindo ana harufu unaanza kupiga kelele kutema mate kama mjamzito ,kufunga mapua kana kwamba hali kama hiyo jaijawahi kukutokea wewe ni taahira
 
Jf bana usikute uko buza unalala sebuleni kwa shemeji yako huna hata baiskeli
 
Ha ha ha!
Bi mzuri anajamba!
Du....!
 
Sishangai kuanzisha Uzi Kama huu Mana wewe n chizi maarifa

Legend wa story
 
masimango ya nini mkuu?
Unaweza kukuta ana ka-Harrier kake ka tako la nyani basi imekuwa tabu mtaani.
 
Mkuu uwe unatembea na vitunguu swaumu kwenye first Aid kit inakata mashuzi yasiyokuwa na mpangilio.
 
Sasa mzee katika waliokuwa wanasubiri gari mkamuona mdada tu na wengine nadhani ni Wanaume mkawatosa, aya sasa mkakumbana na balaaa ndanj ya gari na mna bahati agetoa ile ya mwisho mlikuwa mnakula kona chalii
 
Ulimfuata wewe mwenyewe, na zaidi hukumtoza nauli. Uliyataka mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…