Ndugu zanguni Watanzania tuacheni Ulalamishi, Unapunguza nguvu za kiume

Bill Lugano

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
1,189
Reaction score
6,450
Nmeshangazwa na kitendo cha mtu kuongea na mh rais akilalamika kuwa bei ya mahindi/unga imepanda.nlipata shida kidogo msingi wa malalamiko yake.

Lakini mbona hili wala si issue kubwa ya kusema mtu alalamike mbele za watu hata umma wote umwone analalamika?

Hebu tushirikishane kuorodhesha hapa vitu ambavyo ni mbadala/altenative
Kwa mfano
Kama bei ya
Unga ikipanda unanunua mchele
Maandazi bei ikipanda unanunua keki
Nauli za bus zikipanda unatumia ndege
Juice wanazotengeza Tz bei ikipanda unanunua CERES mimi ndo natumia miaka yote ukiacha fresh ya kutengeneza nyumbani.

Mimi nliachana na kulalamika kipindi flani nlienda kununua Range Rover yard moja hivi UK wale wazungu wakawa kama wanajishauri nikaacha kununua kwao nikasogea tu hapo mbele nikanunua Range Rover na Mercedes Benz nikatoa pesa nusu.

Ulalamishi huwa sipendi.na sometime unakuta mwanaume kabisa analalamika. Mwanaume unalalamikaje? Nlishasema jamani wenzangu tuacheni ulalamishi.you either do or dont. Period.

Why mtu unalalamika kila wakati?altenatives zipo. Kama unaona usafiri wa kwenda zanzibar kwa boat/meli ni gharama au kuna usumbufu kwa nini usipande tu ndege ukafika haraka zaidi na kuepuka usumbufu huo?

Tuacheni kulalamika.ulalamishi unapunguza hata nguvu za kiume.wanaume hatujaumbwa kulalamika.tumeumbwa ku act/do.siyo kulalamika.ukioa inakuaje? Baba unalalamika,mama analalamika ,watoto wanalalamika.WALALAMISHI FAMILY.
 
..Nahisi katika maisha yako mengine we we ndiye uliyewahi kuwa yule Malikia Wa Ufaransa ambaye Wananchi wake walipolalamika kuwa maisha yamekuwa magumu sana hata wanashindwa kununua chakula cha being ndogo kabisa Mkate alijibu....'kama hamuwezi kununua Mkate si mnunue Keki???'
Nahisi ni wewe...!!!
 
Itafika wakati JF members watamuona mtoa mada ni tahira, sasa kama umeshindwa nauli ya gari utaweza vipi nauli ya ndege?
Mtoa mada jaribu ku-behave kama mtu mzima.
Pumbavu
 
Mkuu ongeza ongeza nyama huu uzi hauna morali ,weka weka nyama kidogo mkuu
 
..Nahisi katika maisha yako mengine we we ndiye uliyewahi kuwa yule Malikia Wa Ufaransa ambaye Wananchi wake walipolalamika kuwa maisha yamekuwa magumu sana hata wanashindwa kununua chakula cha being ndogo kabisa Mkate alijibu....'kama hamuwezi kununua Mkate si mnunue Keki???'
Nahisi ni wewe...!!!
cc:
Maria antonnette
 
Nmeshangazwa na kitendo cha mtu kuongea na mh rais akilalamika kuwa bei ya mahindi/unga imepanda.nlipata shida kidogo msingi wa malalamiko yake.

Lakini mbona hili wala si issue kubwa ya kusema mtu alalamike mbele za watu hata umma wote umwone analalamika?

Hebu tushirikishane kuorodhesha hapa vitu ambavyo ni mbadala/altenative
Kwa mfano
Kama bei ya
Unga ikipanda unanunua mchele
Maandazi bei ikipanda unanunua keki
Nauli za bus zikipanda unatumia ndege
Juice wanazotengeza Tz bei ikipanda unanunua CERES mimi ndo natumia miaka yote ukiacha fresh ya kutengeneza nyumbani.

Mimi nliachana na kulalamika kipindi flani nlienda kununua Range Rover yard moja hivi UK wale wazungu wakawa kama wanajishauri nikaacha kununua kwao nikasogea tu hapo mbele nikanunua Range Rover na Mercedes Benz nikatoa pesa nusu.

Ulalamishi huwa sipendi.na sometime unakuta mwanaume kabisa analalamika. Mwanaume unalalamikaje? Nlishasema jamani wenzangu tuacheni ulalamishi.you either do or dont. Period.

Why mtu unalalamika kila wakati?altenatives zipo. Kama unaona usafiri wa kwenda zanzibar kwa boat/meli ni gharama au kuna usumbufu kwa nini usipande tu ndege ukafika haraka zaidi na kuepuka usumbufu huo?

Tuacheni kulalamika.ulalamishi unapunguza hata nguvu za kiume.wanaume hatujaumbwa kulalamika.tumeumbwa ku act/do.siyo kulalamika.ukioa inakuaje? Baba unalalamika,mama analalamika ,watoto wanalalamika.WALALAMISHI FAMILY.
Umeolewa? Au bado unaishi kwa dadako shemeji yako na dadako wanatombana chumbani unasikiliza![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom