Huyo yuko bush hilo meza la zamani kabla nchi haijapata uhuru mpk leo analo 😹😹Nyumba nzuri kabisa hiyo hapo demu akiingia lazima ashenyentwe vilivyo.
Nikipata gheto kama hilo mbona nitajidai mjini hapa
Sasa sii ndio meza nzuri au wee unataka za vioo ambayo huwezi ata mdinyia mkeo juu yake🤣🤣🤣🤣Huyo yuko bush hilo meza la zamani kabla nchi haijapata uhuru mpk leo analo 😹😹
Mkuu badilisha meza 😹Kajinga haka kanajipa umhimu tu humu!!
kwanini mnapeleka watoto wenu boarding schools?Kuna hili jambo limenikuta. Mwaka jana binti yangu alimaliza kidato cha nne shule ya serikali ambayo ni mchanganyiko wasichana na wavulana, baadae akapangiwa kidato cha tano shule pia mchanganyiko.
Baada ya kupangiwa shule niliamua asome masomo ya ziada kabla. Pamoja na hayo nikampa simu janja ili kumpa exposure kidogo na apate nafasi ya kutongozwa tongozwa na tuvijana twenzake. Mimi ni muumini wa nature, so always I believe nature should take it's course. Binti akibalehe ruksa atongozwe na akikaa vibaya madogo wamle, not a crime at all.
Sasa basi kwenye harakati hizo za masomo ya ziada akakutana na binti mwenzake, urafiki ukakoma, wakawa wanafanya masomo pamoja, binti huyo anaonekana mwenye adabu sana na mcha Mungu, though sura kama ya Luvanga. Mara kwa Mara nilitoka kwenye mihangaiko binti huyo namkuta home, basi mimi nikaendelea na hamsini zangu. Kwakuwa walikuwa wamepangwa shule tofauti kila mtu akaenda shule yake.
Sasa masharti ya simu ni alienda shule inabaki home, so mara nyingi anawapa marafiki zake namba yangu ya simu kwakuwa simu yake ni ya msimu. So huyu binti namba yangu ya simu anayo pia.
Sasa wakati likizo iliyoisha imekaribia binti ilinisumbua Mara kwa Mara, akiniuliza kama binti amerudi. Na Mimi nilimueleza bado na sikutilia manani. Baadae binti yangu alifunga shule, na hapa ndiyo nikaanza kujiuliza kulikoni. Yule binti sikuwahi kumuona hapa kwangu, mind you, hapa home Mimi na mamtu kila mtu anaamkia kwenye mihangaiko yake, so binti anabaki pekee yake.
Sasa nikawa najiuliza mbona kabla ilikuwa haipiti siku mbili sijamuona hapa. Kumbe round hii alikuwa anakuja mda ambao tumetoka na anahakikisha ameondoka kabla sijarudi. Nimekuja kujua baadae. Cha kushangaza cha pili, siku moja nikakuta amemnunulia zawadi binti yangu ya nguo za ndani(nilikuta kikaratasi cha ujumbe binti amekisahau sebuleni), nikaguna, lakini ikabidi nianze kufuatilia kwa karibu sana.
Sasa binti karudi shule simu kaacha nikasema ngoja nione vihuni kama vinamchangamsha kweli. He! Ndiyo kukutana na picha za kutengeza sijui snap chart za yeye binti na huyo binti he! Nikabaki mdomo wazi. Ndiyo nikaanza kumchimba binti vizuri.
Sekondari kasoma shule ya wasichana watupu, kidato cha tano kapelekwa shule ya wasichana. Kuendelea kutafiti zaidi dada mmoja ananiambia huyo binti ni kashetani kadogo. Anawapigia misele kabisa mabinti wenzake. La haula, binti yangu sasa ana mwaka tangu urafiki naye, kichwa kikawaka moto. Namsubiri afunge anieleze inakuwaje, vivulana vyote hivyo alivyosoma navyo O level na sasa Advance jumlisha vya mtani anakwama wapi hadi apigwe sound na huyu binti.
Nataka kusemaje tuwe makini pia na urafiki wa mabinti zetu na mabinti wenzao it so very alarming.
Fanya marekebisho ukuta una fangasi km bichwa lako 😹😹Huna akili ndiyo, maana umeahindwa ku comprehend nilichoandika. Ukute Nabishana na lidada la chako ni chako hapa. Linajaribu kujipa umhimu hapa
Kuna hili jambo limenikuta. Mwaka jana binti yangu alimaliza kidato cha nne shule ya serikali ambayo ni mchanganyiko wasichana na wavulana, baadae akapangiwa kidato cha tano shule pia mchanganyiko.
Baada ya kupangiwa shule niliamua asome masomo ya ziada kabla. Pamoja na hayo nikampa simu janja ili kumpa exposure kidogo na apate nafasi ya kutongozwa tongozwa na tuvijana twenzake. Mimi ni muumini wa nature, so always I believe nature should take it's course. Binti akibalehe ruksa atongozwe na akikaa vibaya madogo wamle, not a crime at all.
Sasa basi kwenye harakati hizo za masomo ya ziada akakutana na binti mwenzake, urafiki ukakoma, wakawa wanafanya masomo pamoja, binti huyo anaonekana mwenye adabu sana na mcha Mungu, though sura kama ya Luvanga. Mara kwa Mara nilitoka kwenye mihangaiko binti huyo namkuta home, basi mimi nikaendelea na hamsini zangu. Kwakuwa walikuwa wamepangwa shule tofauti kila mtu akaenda shule yake.
Sasa masharti ya simu ni alienda shule inabaki home, so mara nyingi anawapa marafiki zake namba yangu ya simu kwakuwa simu yake ni ya msimu. So huyu binti namba yangu ya simu anayo pia.
Sasa wakati likizo iliyoisha imekaribia binti ilinisumbua Mara kwa Mara, akiniuliza kama binti amerudi. Na Mimi nilimueleza bado na sikutilia manani. Baadae binti yangu alifunga shule, na hapa ndiyo nikaanza kujiuliza kulikoni. Yule binti sikuwahi kumuona hapa kwangu, mind you, hapa home Mimi na mamtu kila mtu anaamkia kwenye mihangaiko yake, so binti anabaki pekee yake.
Sasa nikawa najiuliza mbona kabla ilikuwa haipiti siku mbili sijamuona hapa. Kumbe round hii alikuwa anakuja mda ambao tumetoka na anahakikisha ameondoka kabla sijarudi. Nimekuja kujua baadae. Cha kushangaza cha pili, siku moja nikakuta amemnunulia zawadi binti yangu ya nguo za ndani(nilikuta kikaratasi cha ujumbe binti amekisahau sebuleni), nikaguna, lakini ikabidi nianze kufuatilia kwa karibu sana.
Sasa binti karudi shule simu kaacha nikasema ngoja nione vihuni kama vinamchangamsha kweli. He! Ndiyo kukutana na picha za kutengeza sijui snap chart za yeye binti na huyo binti he! Nikabaki mdomo wazi. Ndiyo nikaanza kumchimba binti vizuri.
Sekondari kasoma shule ya wasichana watupu, kidato cha tano kapelekwa shule ya wasichana. Kuendelea kutafiti zaidi dada mmoja ananiambia huyo binti ni kashetani kadogo. Anawapigia misele kabisa mabinti wenzake. La haula, binti yangu sasa ana mwaka tangu urafiki naye, kichwa kikawaka moto. Namsubiri afunge anieleze inakuwaje, vivulana vyote hivyo alivyosoma navyo O level na sasa Advance jumlisha vya mtani anakwama wapi hadi apigwe sound na huyu binti.
Nataka kusemaje tuwe makini pia na urafiki wa mabinti zetu na mabinti wenzao it so very alarming.
😹😹😹 Nilijua hii lazima ingekuuma lakini mimi nakushauri kwa uzuri huo ukuta usipokua makini utashuka..!!Hiyo ndiyo tofauti yangu Mimi na wewe. Naishi ujue, siyo wewe unahangaika. Avator yako tu ni ushahidi kuwa your no body hata hujiamini. That's is why nimekwambia Acha kujipa umhimu humu, ukute umetoka zako chako ni chako wameichosha, unaleta makasiriko humu.
Hapana huo mmeza ni zile za watu wanaoishi vikindu 😹😹Sasa sii ndio meza nzuri au wee unataka za vioo ambayo huwezi ata mdinyia mkeo juu yake🤣🤣🤣🤣
Watu wengi hawajui jinsi vile wasagaji waliokubuhu safari yao ya usagaji ilivyoanza, wengi walianza udogoni tena waliingizwa na mabinti wenzao hivi hivi ambao tayari wameshaharibika.🙏🙏🙏🙏🙏JF mkuu kawaida watu kama hawa. Limenikuta hili nikaona siyo dhambi kuliweka hapa. Kwa sababu inawezekana wengi we are not concerned na urafiki Kati ya mabinti lakini kumbe nako kuna shida kubwa
Here now you come. Nilijua tu unajipa umhimu humu umejaa makasiriko ya kukutana na vidudu tofauti tof😊😊😊auti😹😹😹 Nilijua hii lazima ingekuuma lakini mimi nakushauri kwa uzuri huo ukuta usipokua makini utashuka..!!
Naona sukari imekupanda kuambiwa ukweli, sasa utaweza kuvumilia siku ukijua hata mkeo msagaji? 🤣
Ni hivo tu mkuu, nimeleta jambo hili kwa nia njema tu. Halafu watu wanajitoa ufahamu.Watu wengi hawajui jinsi vile wasagaji waliokubuhu safari yao ya usagaji ilivyoanza, wengi walianza udogoni tena waliingizwa na mabinti wenzao hivi hivi ambao tayari wameshaharibika.
Leo hii watoto wanaonesha dalili zote za kujihusisha na michezo ya kishetani ya kusagana, halafu wanatokea wajinga wanakwambia eti acha watoto waoneshane upendo shenzy kabisa..!!
Mabinti wengi sana siku hizi wameharibika sababu ya kutokuwa na uangalizi mzuri kutoka kwa wazazi.
Huo mmeza hata kijijini kwetu haupo nimeshangaa wewe kumiliki na unatamba nalo mwenyewe 😹😹😹Just know hiyo meza ili wewe uweze kuipata you need three nights with kind of Mzab Mzab wasiopungua watatu per night🤣🤣🤣🤣🤣
Em tupia pic nyingine tuone huo mjumba wa kale 😹😹😹Here now you come. Nilijua tu unajipa umhimu humu umejaa makasiriko ya kukutana na vidudu tofauti tof😊😊😊auti
Kibamia toka lini kikatoa upwiru 😹😹Kenge leo una makasiriko mengi sana. Ebu bwana njoo nikutoe upwiruu kwanza 🤣🤣🤣🤣
Nyie mlioishi mna maajabu gani zaidi ya kujidhalilisha kila mtu anaona kibamia chako 😹😹Mweee basi wee hujaishi...unasindika watu tuu humu duniani
Sasa wee unajuaje kuwa huko ni kijidhalilisha? Mbona waliokiona walifurahiNyie mlioishi mna maajabu gani zaidi ya kujidhalilisha kila mtu anaona kibamia chako 😹😹