Ndugu zanguni wenye mabinti mashuleni tuwafatilie kwa karibu

Nyumba nzuri kabisa hiyo hapo demu akiingia lazima ashenyentwe vilivyo.
Nikipata gheto kama hilo mbona nitajidai mjini hapa
Huyo yuko bush hilo meza la zamani kabla nchi haijapata uhuru mpk leo analo 😹😹
 
Huyo yuko bush hilo meza la zamani kabla nchi haijapata uhuru mpk leo analo 😹😹
Sasa sii ndio meza nzuri au wee unataka za vioo ambayo huwezi ata mdinyia mkeo juu yake🤣🤣🤣🤣
 
Hakunaga urafiki wa dhati kati ya KE na KE unless kama wote ni Wanafiki au Malaya vinginevyo hao Wanasagana.
Ati utasikia wanaitana Baby, kukumbatiana hovyo na kushikana matako. Niamini mimi thats not feminine that's...🌈
 
kwanini mnapeleka watoto wenu boarding schools?

ni wajibu wa wazazi kukaa na watoto wao masaa 24 mpaka wafikishe umri wa kwenda vyuo vikuu

hizi freedoms na character mixing za watoto wadogo hawajakomaa ku make decisions themselves ni hatari sana

kaeni na watoto wenu tangu mnawazaa mpaka anapoenda chuo kikuu,kinyume na hapo my friend you are in dep trouble
 
Huna akili ndiyo, maana umeahindwa ku comprehend nilichoandika. Ukute Nabishana na lidada la chako ni chako hapa. Linajaribu kujipa umhimu hapa
Fanya marekebisho ukuta una fangasi km bichwa lako 😹😹
 

Sijaelewa sura ya Luvanga ni sura gani ?
 
😹😹😹 Nilijua hii lazima ingekuuma lakini mimi nakushauri kwa uzuri huo ukuta usipokua makini utashuka..!!

Naona sukari imekupanda kuambiwa ukweli, sasa utaweza kuvumilia siku ukijua hata mkeo msagaji? 🤣
 
Sasa sii ndio meza nzuri au wee unataka za vioo ambayo huwezi ata mdinyia mkeo juu yake🤣🤣🤣🤣
Hapana huo mmeza ni zile za watu wanaoishi vikindu 😹😹
Huyu itakua mvuvi feri 🤣
 
🙏🙏🙏🙏🙏JF mkuu kawaida watu kama hawa. Limenikuta hili nikaona siyo dhambi kuliweka hapa. Kwa sababu inawezekana wengi we are not concerned na urafiki Kati ya mabinti lakini kumbe nako kuna shida kubwa
Watu wengi hawajui jinsi vile wasagaji waliokubuhu safari yao ya usagaji ilivyoanza, wengi walianza udogoni tena waliingizwa na mabinti wenzao hivi hivi ambao tayari wameshaharibika.

Leo hii watoto wanaonesha dalili zote za kujihusisha na michezo ya kishetani ya kusagana, halafu wanatokea wajinga wanakwambia eti acha watoto waoneshane upendo shenzy kabisa..!!

Mabinti wengi sana siku hizi wameharibika sababu ya kutokuwa na uangalizi mzuri kutoka kwa wazazi.
 
😹😹😹 Nilijua hii lazima ingekuuma lakini mimi nakushauri kwa uzuri huo ukuta usipokua makini utashuka..!!

Naona sukari imekupanda kuambiwa ukweli, sasa utaweza kuvumilia siku ukijua hata mkeo msagaji? 🤣
Here now you come. Nilijua tu unajipa umhimu humu umejaa makasiriko ya kukutana na vidudu tofauti tof😊😊😊auti
 
Ni hivo tu mkuu, nimeleta jambo hili kwa nia njema tu. Halafu watu wanajitoa ufahamu.
 
Just know hiyo meza ili wewe uweze kuipata you need three nights with kind of Mzab Mzab wasiopungua watatu per night🤣🤣🤣🤣🤣
Huo mmeza hata kijijini kwetu haupo nimeshangaa wewe kumiliki na unatamba nalo mwenyewe 😹😹😹
Sema we falah unajiamini,
Ushamba + kujiamini= Uchoko
 
Here now you come. Nilijua tu unajipa umhimu humu umejaa makasiriko ya kukutana na vidudu tofauti tof😊😊😊auti
Em tupia pic nyingine tuone huo mjumba wa kale 😹😹😹
 
simu janja ili kumpa exposure kidogo na apate nafasi ya kutongozwa tongozwa na tuvijana twenzake

Huyu ndo mzazi? Pumbavu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…