Ndugu zanguni wenye mabinti mashuleni tuwafatilie kwa karibu

Daaa aloo
Mkuu usisikilize maneno ya watu wewe Kama msomi fanya utafiti kwanza Mkuu .

Mimi nimewahi kusingizwa issue na watu wa mtaani so just be smart usije muhukumu bure huyo rafiki yake .
 
vivulana vyote hivyo alivyosoma navyo O level na sasa Advance jumlisha vya mtani anakwama wapi hadi apigwe sound na huyu binti.
Oyooooooo nipe namba yake Baba Mkwe hutojutia kabla hajamaliza six anakuja na zawadi yako, utanitetea nisifungwe na Serikali
 
Mkuu usisikilize maneno ya watu wewe Kama msomi fanya utafiti kwanza Mkuu .

Mimi nimewahi kusingizwa issue na watu wa mtaani so just be smart usije muhukumu bure huyo rafiki yake .
Mkuu nimejirishisha vya kutosha kuwa ni sahihi. Simu tu ilitosha kithibitisha hili. Hao wamefanya just corroboration of what I had already.
 
Sura kama ya luvanga ndio Sura ya namna gani
Sura ya kazi ya kufanya kazi Chafu, mtiaji wa wanawake wenzie ila in another world unaweza ukakuta wanamuonea tu binti wa watu
 
Mkuu nimejirishisha vya kutosha kuwa ni sahihi. Simu tu ilitosha kithibitisha hili. Hao wamefanya just corroboration of what I had already.
Umethibitisha nini mkuu ushawafuma red handed au maelezo ya kuambiwa tu na watu?
 
Kwahiyo rafiki yake anafanya mambo ya usagaji una uhakika? Umeshuhudia au umepata evidence?
 
Umethibitisha nini mkuu ushawafuma red handed au maelezo ya kuambiwa tu na watu?
Huyu mswahili anaokoteza taarifa tu na kuharibu reputation ya huyo best friend wake .

Waswahili tuna ujinga Sana hatujipi muda wa kufanya uchunguzi na kutafuta ukweli
 
Umethibitisha nini mkuu ushawafuma red handed au maelezo ya kuambiwa tu na watu?
Soma vizuri mkuu, niliamua kutaka kimjua zaidi baada ya kukuta Mambo yasiyofaa kwa simu ya binti!
 
Back
Top Bottom