She is still a child, umri ukifika atakua huru ila kwa sasa kama mzazi bado nia wajibu wa kuhakikisha safari yake inakua salamaUnakaza sana bimkubwa, mpe chance basi na sisi tupate lau nafasi, unakabia juu mnoo.
Kila la heri ndugu, Mungu amtunze huyu Binti na amuepishe na mkono wa shetaniKwakaweli Namsubiri afunge nikae nae kitako, silichukulii kwa udogo hata kidogl
Mkuu usisikilize maneno ya watu wewe Kama msomi fanya utafiti kwanza Mkuu .Daaa aloo
Oyooooooo nipe namba yake Baba Mkwe hutojutia kabla hajamaliza six anakuja na zawadi yako, utanitetea nisifungwe na Serikalivivulana vyote hivyo alivyosoma navyo O level na sasa Advance jumlisha vya mtani anakwama wapi hadi apigwe sound na huyu binti.
Mkuu nimejirishisha vya kutosha kuwa ni sahihi. Simu tu ilitosha kithibitisha hili. Hao wamefanya just corroboration of what I had already.Mkuu usisikilize maneno ya watu wewe Kama msomi fanya utafiti kwanza Mkuu .
Mimi nimewahi kusingizwa issue na watu wa mtaani so just be smart usije muhukumu bure huyo rafiki yake .
Sura ya kazi ya kufanya kazi Chafu, mtiaji wa wanawake wenzie ila in another world unaweza ukakuta wanamuonea tu binti wa watuSura kama ya luvanga ndio Sura ya namna gani
Umethibitisha nini mkuu ushawafuma red handed au maelezo ya kuambiwa tu na watu?Mkuu nimejirishisha vya kutosha kuwa ni sahihi. Simu tu ilitosha kithibitisha hili. Hao wamefanya just corroboration of what I had already.
Kwahiyo rafiki yake anafanya mambo ya usagaji una uhakika? Umeshuhudia au umepata evidence?Mkuu nimejirishisha vya kutosha kuwa ni sahihi. Simu tu ilitosha kithibitisha hili. Hao wamefanya just corroboration of what I had already.
Basi nipe namba ya huyo Luvanga nimtulize aache kuja kwa binti yakoWazee tafuteni mashangazi
Huyu mswahili anaokoteza taarifa tu na kuharibu reputation ya huyo best friend wake .Umethibitisha nini mkuu ushawafuma red handed au maelezo ya kuambiwa tu na watu?
Mkuu nimejirishisha without shadow of doubt. Dogo anakoboa na anawapigia misele kabisa mabinti wenzake!Sura ya kazi ya kufanya kazi Chafu, mtiaji wa wanawake wenzie ila in another world unaweza ukakuta wanamuonea tu binti wa watu