Ndugu zanguni wenye mabinti mashuleni tuwafatilie kwa karibu

Kitu cha muhimu kuwapa watoto mafunzo ya dini. watoto wanatakiwa wamuogope Mungu kwanza na sio kumuogopa mzazi. Japo kuna kuteleza lakini imani ya Mungu inasaidia sana kumfanya mtoto awe mwema.
mwisho kabisa tusisahau kuwaombea watoto wetu dua mara kwa mara. dunia imejaa balaa na upuuzi mwingi sana. tuzidishe maombi
 
nipe nqmba ya binti yako tafadhal ....mm nasoma form 6 .
 
Marafiki wa watoto wako ni lazima wewe uwafahamu, uwfanyie scanning na uwapitishe, pia ni lazima uwafahamu wazazi wake...
 
Hata ukisoma maelezo yake unagundua hana akili ni baba mjinga ambaye hajielewi .

Kuna uwezekanao akawa anataka kuharibu Aura ya huyo binti .

Issue ya kusagana anaichukulia Kama Haifai Ila mtoto kugongwa na vidume ni sahihi .
Jamaa umemkomalia mleta mada kuhusu kukupa ushaidi ushaidi licha ya kutoa maelezo yanayojitosheleza, ila mwisho wa siku ukaamua kujiweka wazi kwanin hujafurahishwa na hii mada, ni kwa sababu wewe ni supporter wa LGBTQ yaan umechukuizwa na kuona jamaa hapendi kuona binti yake akiingizwa kwenye usagaji.

Kwa tafakari ya haraka haraka tu kwenye hii para yako ya mwisho unaonekana hupendi binti yake kusarandiwa na vidume ila ulipenda kuona akisagana na huyo rafiki yake ambaye kwa akili yako ya kishetani unamuona hana hatia na anasingiziwa.

Unamuita mwenzako ni mzazi wa ovyo kwa kumlinda binti yake asiingizwe kwenye ushetani, ila kwa comments zako hapa wewe na mwenzako mmoja aliyekusapoti hapo juu ndio wapumbavu wakubwa, bila shaka wewe utakuwa ni mssenge na uko hapa kumtetea huyo mssenge mwenzio wa kike ukiona kama anasingiziwa..

Huwa nachukizwa sana na majitu ya aina yako ambao mnapenda kuona ushoga na usagaji ukienea kwa kasi kwenye jamii yetu.

Wewe inavyoonekana kama una watoto wa kike watakuwa ni wasagaji wazuri sana na ukiwaona unawapa hongera.

Mleta mada hongera kwa kumlinda mwanao, achana na kelele za hawa mashetani ambao wanaona hujafanya kitu sahihi.
 
kakamate hako kajanja kaulize maswali ya kutosha yaan kafungie ndani kenyeqe then kaulize maswali ya kutosha kakiomba msaada niite kukatoa huko

Tiba : Kupigwa kende kutwa mara 4
namba : 0747527075


"Let the nature take place"
Kuna wapumbavu wawili hapa huyu Manfried na mwenzake stow away yaani wamekasirishwa sana na kuona mleta mada mtoto wake dhidi ya hako kashetani kadogo, hawa naamini watakuwa watakuwa ni homosexual yaan ni mashoga, maana hakuna kitu ambacho huwa kinawachukiza kma kuona mtu wa jamii yao anapigwa vita asieneze ushetani wao, furaha yao hawa mashoga/wasagaji huwa ni kuona familia za watu zinaangamia kwa ushoga na usagaji.

Nafikiri umeona hawa wapumbavvu wawili stow away na mwenze Manfried walivyomkalia mleta mada kooni utafikiri labda walikuwa wanasagwa wao.

Hawa ******* huwa wamenikera sana mbwaa hawa, yaan mtu anajitahidi kumprotect binti yake dhdi ya ushetani wao wanaona kama anamuonea huyo binti na rafiki yake? Majitu mengine ni ya kupiga shaba tu.
 
Usijione upo mbali Mkuu rudia tena kauli yako uone
 
Wanazingua
 
Usijione upo mbali Mkuu rudia tena kauli yako uone
Acha ujinga wewe wa kutetea ushetani wenu...

Kama unapenda kuona binti wa mwezio akiingizwa kwenye usagaji, kamchukue huyo rafiki wa mtoto wa mleta mada kisha umchanganye na watoto wako wa kike au dada zako hili ufurahie
 
Si umesema tuache asili ichukue mkondo wake lakin?? Sasa kwanin uaanza ipangia asili cha kufanya 🀣.

Iwe anatongozwa na wavulana au wasichana wenzake, elimu ya malezi na kujitambua ilikuw muhimu kabla ya hiyo simu uliyompatia.
 
🀣🀣🀣🀣
 
Baba bora kabisa, ndiyo maana I'm concerned with her. Lakini siwezi ku pretend as you are trying here, kwamba binti atabalehe halafu asidate. Ni mjinga kama wewe atajirisha upepo huo. Na hata hili nimelileta kwa sababu it's a little bit abnormal, ingekuwa ni yeye na mtoto wa kiume walaa hata lisingenishughulisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…