Sema mmezingua sana wakuu daahOngea na baba mkwe vizuri upewe namba hapo
Ila yote tisa nimesikiliza confession nyingi nimeona wadada wanaosaga wenzao wanajua sana kutongoza kuliko wanaume wengi, wanatoa vijizawadi zawadi vingi..mara hugs, mara vi romantic gesturesAsante kwa taarifa, kwa kweli yunapaswa kuwa makini sana na watoto wote wa kike na kiume, bahati mbaya sana mimi rafiki za binti yangu wakija wanaishia sebuleni, hakuna kuingia chumbani, na kabla hawajaja lazima nipewa taarifa na wazazi wa hao watoto, hakuna kuja kinyemela, na binti yangu kama anaenda kwa rafiki zake lazima niwasiliane na mzazi husika na nihakikishe mzazi husika yupo nyumbani, nimeongea nae kila lugha mpaka mambo ya usagaji na mashoka bila kupepesa macho,nimempa mipaka na marafiki, na anajua urafiki lazima uwe na mipaka, sleep overs ni marufuku nyumbani kwangu, boarding ni marufuku kabisa hiyo nimeshajiapiza, nampa muda wa kusocialize na wenzake lakini i am always on guard, nikiona ana shida kwenye somo fulani natafuta mwalimu anakuja nyumbani muda wa jioni ambao mimi nipo na anamfundishia eneo la wazi
Huwa nasoma msg zake sjui groups zake za shule wanadiscuss movies za kitoto kama moana, sijui the boy who harsen the wind and so on, sijaona chenye madhara ila nimempa warning kali hatari
Hawa watoto usipowafuatilia kuna mashetani wengi wanawafuatilia, ni muhimu kuwalinda na kuwaombea
ChaiKuna hili jambo limenikuta. Mwaka jana binti yangu alimaliza kidato cha nne shule ya serikali ambayo ni mchanganyiko wasichana na wavulana, baadae akapangiwa kidato cha tano shule pia mchanganyiko.
Baada ya kupangiwa shule niliamua asome masomo ya ziada kabla. Pamoja na hayo nikampa simu janja ili kumpa exposure kidogo na apate nafasi ya kutongozwa tongozwa na tuvijana twenzake. Mimi ni muumini wa nature, so always I believe nature should take it's course. Binti akibalehe ruksa atongozwe na akikaa vibaya madogo wamle, not a crime at all.
Sasa basi kwenye harakati hizo za masomo ya ziada akakutana na binti mwenzake, urafiki ukakoma, wakawa wanafanya masomo pamoja, binti huyo anaonekana mwenye adabu sana na mcha Mungu, though sura kama ya Luvanga. Mara kwa Mara nilitoka kwenye mihangaiko binti huyo namkuta home, basi mimi nikaendelea na hamsini zangu. Kwakuwa walikuwa wamepangwa shule tofauti kila mtu akaenda shule yake.
Sasa masharti ya simu ni alienda shule inabaki home, so mara nyingi anawapa marafiki zake namba yangu ya simu kwakuwa simu yake ni ya msimu. So huyu binti namba yangu ya simu anayo pia.
Sasa wakati likizo iliyoisha imekaribia binti ilinisumbua Mara kwa Mara, akiniuliza kama binti amerudi. Na Mimi nilimueleza bado na sikutilia manani. Baadae binti yangu alifunga shule, na hapa ndiyo nikaanza kujiuliza kulikoni. Yule binti sikuwahi kumuona hapa kwangu, mind you, hapa home Mimi na mamtu kila mtu anaamkia kwenye mihangaiko yake, so binti anabaki pekee yake.
Sasa nikawa najiuliza mbona kabla ilikuwa haipiti siku mbili sijamuona hapa. Kumbe round hii alikuwa anakuja mda ambao tumetoka na anahakikisha ameondoka kabla sijarudi. Nimekuja kujua baadae. Cha kushangaza cha pili, siku moja nikakuta amemnunulia zawadi binti yangu ya nguo za ndani(nilikuta kikaratasi cha ujumbe binti amekisahau sebuleni), nikaguna, lakini ikabidi nianze kufuatilia kwa karibu sana.
Sasa binti karudi shule simu kaacha nikasema ngoja nione vihuni kama vinamchangamsha kweli. He! Ndiyo kukutana na picha za kutengeza sijui snap chart za yeye binti na huyo binti he! Nikabaki mdomo wazi. Ndiyo nikaanza kumchimba binti vizuri.
Sekondari kasoma shule ya wasichana watupu, kidato cha tano kapelekwa shule ya wasichana. Kuendelea kutafiti zaidi dada mmoja ananiambia huyo binti ni kashetani kadogo. Anawapigia misele kabisa mabinti wenzake. La haula, binti yangu sasa ana mwaka tangu urafiki naye, kichwa kikawaka moto. Namsubiri afunge anieleze inakuwaje, vivulana vyote hivyo alivyosoma navyo O level na sasa Advance jumlisha vya mtani anakwama wapi hadi apigwe sound na huyu binti.
Nataka kusemaje tuwe makini pia na urafiki wa mabinti zetu na mabinti wenzao it so very alarming.
HahahaBinti kwa binti Binafsi naona kama ni michezo tu, hasa hsa kwa hivyo vidogo vikikua vikionja utamu wa dudu vitaacha.
Ila man to man, There is no going back ni kikema cha maisha.
Mlinzii kwa sisi wa KRISTO ni YESU PEKEE Ndie Alindaee.Asante kwa taarifa, kwa kweli yunapaswa kuwa makini sana na watoto wote wa kike na kiume, bahati mbaya sana mimi rafiki za binti yangu wakija wanaishia sebuleni, hakuna kuingia chumbani, na kabla hawajaja lazima nipewa taarifa na wazazi wa hao watoto, hakuna kuja kinyemela, na binti yangu kama anaenda kwa rafiki zake lazima niwasiliane na mzazi husika na nihakikishe mzazi husika yupo nyumbani, nimeongea nae kila lugha mpaka mambo ya usagaji na mashoka bila kupepesa macho,nimempa mipaka na marafiki, na anajua urafiki lazima uwe na mipaka, sleep overs ni marufuku nyumbani kwangu, boarding ni marufuku kabisa hiyo nimeshajiapiza, nampa muda wa kusocialize na wenzake lakini i am always on guard, nikiona ana shida kwenye somo fulani natafuta mwalimu anakuja nyumbani muda wa jioni ambao mimi nipo na anamfundishia eneo la wazi
Huwa nasoma msg zake sjui groups zake za shule wanadiscuss movies za kitoto kama moana, sijui the boy who harsen the wind and so on, sijaona chenye madhara ila nimempa warning kali hatari
Hawa watoto usipowafuatilia kuna mashetani wengi wanawafuatilia, ni muhimu kuwalinda na kuwaombea
Case study: Dkt. Gwajima DKuna hili jambo limenikuta. Mwaka jana alimaliza kidato cha nne shule ya serikali ambayo ni mchanganyiko wa wasichana na wavulana, baadae akapangiwa kidato cha tano shule pia mchanganyiko.
Baada ya kupangiwa shule niliamua asome masomo ya ziada kabla. Pamoja na hayo nikampa simu janja ili kumpa exposure kidogo na apate nafasi ya kutongozwa tongozwa na tuvijana twenzake. Mimi ni muumini wa maumbile, kwa hivyo kila wakati naamini asili inapaswa kuchukua mkondo wake. Binti akibalehe ruksa atongozwe na akikaa vibaya madogo wamle, sio kosa hata kidogo.
Sasa basi kwenye harakati hizo za masomo ya ziada akakutana na binti mwenzake, urafiki ukakoma, wakawa wanafanya masomo pamoja, binti huyo anaonekana mwenye adabu sana na mcha Mungu, though sura kama ya Luvanga. Mara kwa Mara nilitoka kwenye mihangaiko binti huyo namkuta home, basi mimi nikaendelea na hamsini zangu. Kwakuwa walikuwa wamepangwa shule tofauti kila mtu akaenda shule yake.
Sasa masharti ya simu ni alienda shule inabaki home, so mara nyingi anawapa marafiki zake namba yangu ya simu kwakuwa simu yake ni ya msimu. So huyu binti namba yangu ya simu anayo pia.
Sasa wakati likizo iliyoisha imekaribia binti ilinisumbua Mara kwa Mara, akiniuliza kama binti amerudi. Na Mimi nilimueleza bado na sikilia manani. Baadae binti yangu alifunga shule, na hapa ndiyo nikaanza kujiuliza kulikoni. Yule binti sikuwahi kumuona hapa kwangu, mind you, hapa home Mimi na mtu kila mtu anaamkia kwenye mihangaiko yake, so binti anabaki pekee yake.
Sasa nikawa najiuliza mbona kabla ilikuwa haipiti siku mbili sijamuona hapa. Kumbe round hii alikuwa anakuja mda ambao tumetoka na anahakikisha ameondoka kabla sijarudi. Nimekuja kujua baadae. Cha kushangaza cha pili, siku moja nikakuta amemnunulia zawadi binti yangu ya nguo za ndani(nilikuta kikaratasi cha ujumbe binti amekisahau sebuleni), nikaguna, lakini ikabidi nianze kufuatilia kwa karibu sana.
Sasa binti karudi shule simu kaacha nikasema ngoja nione vihuni kama vinamchangamsha kweli. Yeye! Ndiyo kukutana na picha za kutengeza sijui snap chart za yeye binti na huyo binti he! Nikabaki mdomo wazi. Ndiyo nikaanza kumchimba binti vizuri.
Sekondari kasoma shule ya wasichana watupu, kidato cha tano kapelekwa shule ya wasichana. Kuendelea kutafiti zaidi dada mmoja ananiambia huyo binti ni kashetani kadogo. Anawapigia misele kabisa mabinti wenzake. La haula, binti yangu sasa ana mwaka tangu urafiki naye, kichwa kikawaka moto. Namsubiri afunge anieleze inakuwaje, vivulana vyote hivyo alivyosoma navyo O level na sasa Advance jumlisha vya mtani anakwama wapi hadi apigwe sound na huyu binti.
Nataka kusemaje tuwe makini pia na urafiki wa mabinti zetu na mabinti wenzao it so very alarming.
Hii kiswahili yako Iko konki.Yaah mabinti lazima wapigwe miti na vijana wa kiume lazima wasarandie vibinti haijalishi ni vikali au vibovu.
Ila hili lililoibuka ndio changamoto, vitoto vinakuja kwa kasi na hizo mbanga.
Kwanini mkuu, kiswahili sanifu kabisa hicho.Hii kiswahili yako Iko konki.
Uzi unahusu mabinti, wewe unakuhusu nini mkuu??Hii mada nusu inipite kubabek..
Kuna watu mada tamu kama hizi hawakustui mbwa kabisa hawa majamaaa...
Utakuta wana nitag kwa nyuzi sijui jamaa anataka aanzishe biashara ya genge..
Wanangu leo mmenikera
Vishu Mtata umefeli
Shadow7 hata kama mi sio mwanao sana ila.ungeniita tuu
Bwege sana wewe 😁😁Nipo tayari kukusaidia bila malipo mkuu, akirudi likizo fanya kushare namba yake Pm, nimkanye na nimpe dodoso juu uzuri wa kua na mpenz wa kiume na si wa kike.
Pasi kusahau zawadi za hapa na pale, ila hapa kwenye zawadi mi ni apeche alolo, utakua unanipa tafu kidg.
Ulisingiziwa nn mkuu Tupe taarifa zaidi 😤Mkuu usisikilize maneno ya watu wewe Kama msomi fanya utafiti kwanza Mkuu .
Mimi nimewahi kusingizwa issue na watu wa mtaani so just be smart usije muhukumu bure huyo rafiki yake .
Child miaka mingapi? Usimbane sana akakosa mikuyenge ukubwani akaharibikiwa.She is still a child, umri ukifika atakua huru ila kwa sasa kama mzazi bado nia wajibu wa kuhakikisha safari yake inakua salama
Yaaa Iko poa mkuuKwanini mkuu, kiswahili sanifu kabisa hicho.