NDUGU ZETU SISI MABACHELOR MSITUNYOSHEHE VIDOLE

Profesa ntare nkobe

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Posts
6,955
Reaction score
8,120
Hakuna kitu kinakela kama kuulizwa utaoa lini?Kila mtu ana maisha yake sisi mabachela hatupendi usumbufu tuna penda Uhuru sasa unaoa halafu unaulizwa huko wapi unafanya nini saivi hupo na nani ukichelewa nafunga mlango mara ukaguliwe simu visa vya hapa na pale..Hayo mambo hatuyataki..Sisi papuchi zetu tunakula na tuna sepa..
 
uoe ugundue nini?

Njia zangu sio njia zako

Back
Top Bottom