Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Hatari sanaHapo kwenye family support system.....wapo vizuri sana.....ni kwa vizazi na vizazi.....
Kuna muhindi anaitwa Panjwan wao kazi yao ni kutengeneza pipi..
kwa sasa ni kizazi cha 6 wanatengeneza pipi....toka enzi za lawalawa.....hata wakienda shule wakawa madaktari.....pipi hawaachi kutengeneza.....kuna siri hapo.....