Hongera sasa! tz iko first world na kenya ina mabanda...πππ statements zingine utadhani watu wanaishi Marekani ila wako tu pale Tandale kwa cyber wamelogin JF...ππ
kichwa chako kina kasoro...ni kweli mtu anaweza kuwa na Benz na anaishi kwenye hali hii ya madongo poromoka? anyway, tuwachieni slums zetu tuzikabili...haiwahusu ndewe wala sikio.