Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
Hongera sasa! tz iko first world na kenya ina mabanda...😀😀😀 statements zingine utadhani watu wanaishi Marekani ila wako tu pale Tandale kwa cyber wamelogin JF...😀😀Utatafuta Google mpaka ikuambie Wacha ujinga!.Tanzania haina mabanda kama Kenya