Ndugu zetu Watanzania, mtaacha kuwa shamba la bibi lini? Watu wanapiga hela kupitia kila kitu chenu, hadi vinyonga

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Naona hizi taarifa jamaa amekamatwa na furushi la vinyonga alilokua anasafirisha kimagendo kutokea Tanzania kupitia Ethiopia, yaani huko nje vitu kama hivi ni dili la kupiga hela, ila wenzetu wa kusini wao wapo wapo tu. Mambo kama haya yangetendeka enzi za mababu ingeeleweka, ila yanatendeka leo huku Watz wakiendelea kuhitimu UDOM na kwingine wakijiita wasomi.

Madini, vinyonga, pembe za ndovu na vitu vingine vingi tu, huwa mnakurupuka eti sijui mtajenga ukuta.

=====

BERLIN — Austrian authorities stopped a man at the Vienna airport as he tried to smuggle 74 protected chameleons from Africa into the country.

They said in a statement that a 56-year-old man, who was not further identified, had hidden the animals in socks and empty ice cream boxes when he was caught at customs control in Vienna. He had traveled to Austria from Tanzania via Ethiopia.

The chameleons were taken to the Austrian capital's Schoenbrunn Zoo, which said that three of the animals did not survive.

All the animals were from the Usambara Mountains in Tanzania and ranged in age from 1 week old to adult animals.

On the black market they would sell for for about 37,000 euros ($44,9700), officials said.

The man who smuggled the animals into Austria has to pay a fine of up to 6,000 euros, the Austrian finance ministry said in a statement.

Wakimariza Kuchukua vinyonga wamchukuenna John

Hehehe!! Huko kwenu kila kitu dili, konokono, jongoo, gesi yaani vyote watu wanapiga hela sio mchezo....
 
Naona hizi taarifa jamaa amekamatwa na furushi la vinyonga alilokua anasafirisha kimagendo kutokea Tanzania kupitia Ethiopia, yaani huko nje vitu kama hivi ni dili la kupiga hela, ila wenzetu wa kusini wao wapo wapo tu. Mambo kama haya yangetendeka enzi za mababu ingeeleweka, ila yanatendeka leo huku Watz wakiendelea kuhitimu UDOM na kwingine wakijiita wasomi.

Madini, vinyonga, pembe za ndovu na vitu vingine vingi tu, huwa mnakurupuka eti sijui mtajenga ukuta.

=====

BERLIN — Austrian authorities stopped a man at the Vienna airport as he tried to smuggle 74 protected chameleons from Africa into the country.

They said in a statement that a 56-year-old man, who was not further identified, had hidden the animals in socks and empty ice cream boxes when he was caught at customs control in Vienna. He had traveled to Austria from Tanzania via Ethiopia.

The chameleons were taken to the Austrian capital's Schoenbrunn Zoo, which said that three of the animals did not survive.

All the animals were from the Usambara Mountains in Tanzania and ranged in age from 1 week old to adult animals.

On the black market they would sell for for about 37,000 euros ($44,9700), officials said.

The man who smuggled the animals into Austria has to pay a fine of up to 6,000 euros, the Austrian finance ministry said in a statement.

Mk254 sioni unyonge wa watanzania hapo. Maana huyo jamaa kaiba na labda kashilikiana na wafanyakazi wasio waaminifu serikalini na airport. Hapo ni suala la kujua wahusika ni kina nani ili wachukuliwe hatua. Masuala ya wizi yapo duniani kote na wezi nao wanambinu na akili pia sio wajinga hao.
 
Marekani yuko Iraq kwa ajili ya mafuta, lakini ninyi mko Somalia mnapoteza maisha kwa ajili ya mkaa (Charcoal) kweli ??
Yaani Kenya kukaa kote Somalia mnasingizia kupigana na Alshabaab, kumbe mnafanya biashara ya mkaa na kuni.
Rudisheni vijana wenu nyumbani sisi watanzania tuna mkaa na kuni za kutosha, tutawauzia kwa bei poa.

Hebu ona aibu hii:KDF on the spot over Shabaab charcoal exports in Somalia
 
Sio mkaa tu, ikiwezekana tuwameze kabisa na kufanya taifa moja, kwao huko kuna uwezekano wa gesi na pia mabinti wao warembo sana hivyo piga garagaza tuchukue vyote.....
Haya turejelee maudhui ya uzi, inakuaje hata vijana wa sasa Watz mnaojiita wasomi bado mnaliwa, jamaa wanakwapua na kujichukulia kila kitu mkiwemo tu kama ilivyokua kwa mababu znu.
 
Kupigwa hata ninyi mbona mnaojiita middle-income mnapigwa sana tu, tena heri sisi wanaotupiga ni wazungu.
Huko Kenya mabwanyenye ya Gikuyu na Luo yamejimilikisha ardhi hadi milima, hakuna ardhi ya kilimo kabisa.

Kibaya zaidi watu mnaojiita wasomi mekubaliana kabisa na huo mfumo mpya wa ukabaila unaofanywa kupitia ardhi.
Hivi Willy Mutunga alivyosema kwamba Kenya has become a Bandit Economy unadhani alikuwa anatania ???
 
Hakuna kitu huuma kama kuona raslimali zinaondoka kwa meli huku mumeachwa mumefulia watu wa kandambili, hebu angalia kwa mfano Mtwara, siku gesi iligunduliwa, wazawa wa kule walipiga makelele na kuandamana kwamba mikataba iwekwe wazi na wajue cha kwao, wakapigwa mabomu na kuufyata, leo hii miaka mingi imepita bado wamefulia na kushindia mihogo huko.
 
Naona hizi taarifa jamaa amekamatwa na furushi la vinyonga alilokua anasafirisha kimagendo kutokea Tanzania kupitia Ethiopia, yaani huko nje vitu kama hivi ni dili la kupiga hela, ila wenzetu wa kusini wao wapo wapo tu. Mambo kama haya yangetendeka enzi za mababu ingeeleweka, ila yanatendeka leo huku Watz wakiendelea kuhitimu UDOM na kwingine wakijiita wasomi.

Madini, vinyonga, pembe za ndovu na vitu vingine vingi tu, huwa mnakurupuka eti sijui mtajenga ukuta.

=====

BERLIN — Austrian authorities stopped a man at the Vienna airport as he tried to smuggle 74 protected chameleons from Africa into the country.

They said in a statement that a 56-year-old man, who was not further identified, had hidden the animals in socks and empty ice cream boxes when he was caught at customs control in Vienna. He had traveled to Austria from Tanzania via Ethiopia.

The chameleons were taken to the Austrian capital's Schoenbrunn Zoo, which said that three of the animals did not survive.

All the animals were from the Usambara Mountains in Tanzania and ranged in age from 1 week old to adult animals.

On the black market they would sell for for about 37,000 euros ($44,9700), officials said.

The man who smuggled the animals into Austria has to pay a fine of up to 6,000 euros, the Austrian finance ministry said in a statement.

Nyie mbona wezi na wapenda rushwa huko.
 
Hakuna kitu huuma kama kuona raslimali zinaondoka kwa meli huku mumeachwa mumefulia watu wa kandambili, hebu angalia kwa mfano Mtwara, siku gesi iligunduliwa, wazawa wa kule walipiga makelele na kuandamana kwamba mikataba iwekwe wazi na wajue cha kwao, wakapigwa mabomu na kuufyata, leo hii miaka mingi imepita bado wamefulia na kushindia mihogo huko.
Mwisho wa siku mtanzania wa kawaida ana utajiri wa ardhi inayofanikisha kilimo na shughuli nyingine za kibiashara.
Mtanzania hana pesa lakini ana ardhi, Mkenya wa kawaida hana vyote, pesa wala ardhi yote iko na mabwanyenye.
Waswahili husema heri shari nusu kuliko shari kamili.
 
Ardhi mnayo lakini wazembe wa kufa mtu na ndio maana omba omba wenu wamejaa huku Kenya

Tungekuwa wazembe sidhani kama Kenya ingekuwa inahangaika kununua mazao ya chakula kutoka Tanzania.
Tanzania inaweza kuishi bila Kenya, lakini Kenya haiwezi kabisa kuishi bila Tanzania.
 
tumbo lililovimbiwa hulevya akili,usishangae maneno yao ndio madhara ya vimbi.
 
Tungekuwa wazembe sidhani kama Kenya ingekuwa inahangaika kununua mazao ya chakula kutoka Tanzania.
Tanzania inaweza kuishi bila Kenya, lakini Kenya haiwezi kabisa kuishi bila Tanzania.

Kununua mazao hiyo sio issue maana ni kama wewe hapo Tandale huwa unanunua chochote usicho nacho kutoka kwa jirani, tunanunua mazao hata kutoka mbali kule Brazil haswa kipindi mkipitiliza kwa uzembe wenu, jeuri ya hela tunayo.
Kwa nchi yenu ilivyo kubwa na yenye rotuba nzuri kila mahali ilipaswa muwe bread-basket kwa mataifa mengi sana hapa Afrika, sema haupewi vyote, mumepewa kila kitu ardhi, madini na vyote ila mkanyimwa ubongo na uwezo wa kujituma.
Sisi hapa kainchi ketu kadogo na zaidi ya nusu ni kame tupu lakini tunajituma na mpaka sasa tunaelekea kuwazidi kiuchumi mara mbili pamoja na kwamba nyie ni muungano wa mataifa mawili, shida yenu kubwa uzembe na kuzaliana hovyoo huko.
 
sasa mtu mzembe unawezanunu nini kutokea kwake na hazalishi??

sisi huwa tunawasikiliza tu,sifa zikizidi tunawanyandua kama tulivyofanya mwaka jana kipindi cha corona.
 
Back
Top Bottom