Kwa sisi tutakao nangoromboko vitu kama hivi tumekuwa kuviona huku kwenu.
Mtundiko, baikoko, etc ni design ya ngoma zipatikanazo maeneo ya pwani, zimekuwa na maudhui ya wanawake kukata viuno hadi inakuwa "18+".
Sasa sijui ni mabinti wa siku hizi wameongeza manjonjo hadi kupitiliza au tangu zamani viuno vilikatwa namna hii.
View: https://youtu.be/ZYYSyEHx9Tg?si=gO63H9o3vZvaaxcl
View: https://youtu.be/OXevIZRHZy8?si=Ba7ccmIM4UqB2K0V