Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Huyu alitumbuliwa sababu ya kugomea katakata tozo za miamalaAlishindwa kushawishi akiwa waziri leo nani atamsikiliza? Hata mjumbe wa mtaa atampuuza tu!
Kauli za kiduaanzi hizi, kachukue familia yako upige nao mbiziKama madereva wa daladala wanalalamika kulipia hiyo 5000 basi waruhusiwe kupandisha nauli, raia atakayeona ni gharama apige mbizi...hakuna huruma, hizi kauli za wananchi wanyonge ndio zinachelewesha maendeleo, Tozo ni muhimu kwa ujenzi wa taifa!
Kwahio Magufuli alipelekwa wizara ya vitoweo😅😅😅Hili daraja limejengwa kwa bei ya kifisadi kutumia mfuko wa NSSF...wizara ya ujenzi chini ya Magufuli walipinga sana gharama hizo lakini mwisho wake Rais Kikwete alimpelekaMagufuli wizara ya vitoweo na katibu mkuu wake Mhandisi Kijazi akapelekwa ubalozi India..daraja likajengwa ...mpaka leo huo mzigo unalipwa na watanzania.
Hahahahhahaha one of the key factors sitamani wala sitokaa nijenge Kigamboni zaidi ya kuweka miradi tu ya mashamba labda!Kauli za kiduaanzi hizi,kachukue familia yako upige nao mbizi
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Duh..!Kama madereva wa daladala wanalalamika kulipia hiyo 5000 basi waruhusiwe kupandisha nauli, raia atakayeona ni gharama apige mbizi...hakuna huruma, hizi kauli za wananchi wanyonge ndio zinachelewesha maendeleo, Tozo ni muhimu kwa ujenzi wa taifa!
"Ukiwa waziri ni mtetezi wa serikali, ukiwa Mbunge mtetezi wa wananchi!"" alisikika Bwana Waziri Juma Piga Dili.Alishindwa kushawishi akiwa waziri leo nani atamsikiliza? Hata mjumbe wa mtaa atampuuza tu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alishindwa kushawishi akiwa waziri leo nani atamsikiliza? Hata mjumbe wa mtaa atampuuza tu!
Huo ndiyo ukweliHili daraja limejengwa kwa bei ya kifisadi kutumia mfuko wa NSSF...wizara ya ujenzi chini ya Magufuli walipinga sana gharama hizo lakini mwisho wake Rais Kikwete alimpelekaMagufuli wizara ya vitoweo na katibu mkuu wake Mhandisi Kijazi akapelekwa ubalozi India..daraja likajengwa ...mpaka leo huo mzigo unalipwa na watanzania.
Diko baba diko baba!! Angenyang' anywa diko mdomon 🤣🤣🤣 ukipata madaraka na ukae kwa kutulia ndugu yang ukijidai dai inakula kwako mazimaaaa NCHI ngum hii!!Alishindwa kushawishi akiwa waziri leo nani atamsikiliza? Hata mjumbe wa mtaa atampuuza tu!
Huo ndio ukweli, tuachane na unyonge tutembee kifua mbele sisi ni wananchi wa uchumi wa kati lazima gharama za maisha ziendane na hali ya uchumi wa kati 😁Duh..!
Huo ndio ukweli, kama unaona bei ni kubwa piga mbizi!Kauli za kiduaanzi hizi, kachukue familia yako upige nao mbizi