pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Kwahiyo anatetea daladala au wananchi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko sahihi. Wangewapangia tozo za siku, za wiki na za mwezi. Kwa siku mathlani 30000 kwa wiki 150000 na kwa mwezi 500000. Wangepata pesa nyingi bila usumbufu wa kulipia kila hivyo. Hivyo hivyo kwa vyombo vingine vya moto. Watu waweze kulipia kwa muda mrefu kwa bei nafuu.Wananchi wa Kigamboni wanashukuru sana kwa ujenzi wa Daraja la Nyerere. Ni mkombozi mkubwa. Changamoto ni tozo. Daladala moja inatozwa Sh5,000 ikienda mara kumi kwenda na kurudi ni Sh100,000 kwa siku. Hapo hajaweka mafuta, hajaweka hela ya tajiri-@DocFaustine
“Nakuomba sana Rais twende tukaliangalie jambo hili. tuangalie jinsi gani tunaweza kuleta nafuu kwa wananchi wa Kigamboni na kufanya maisha yawe mepesi. Wananchi wamenituma hilo niweze kulifikisha kwako,” amesema Ndugulile wakati Rais
@SuluhuSamia aliposimama Kibada, kusalimia.
Rais kasema watalifanyia Kazi haraka.kwa sababu Kigamboni itakuwa eneo la viwanda.Wananchi wa Kigamboni wanashukuru sana kwa ujenzi wa Daraja la Nyerere. Ni mkombozi mkubwa. Changamoto ni tozo. Daladala moja inatozwa Sh5,000 ikienda mara kumi kwenda na kurudi ni Sh100,000 kwa siku. Hapo hajaweka mafuta, hajaweka hela ya tajiri-@DocFaustine
“Nakuomba sana Rais twende tukaliangalie jambo hili. tuangalie jinsi gani tunaweza kuleta nafuu kwa wananchi wa Kigamboni na kufanya maisha yawe mepesi. Wananchi wamenituma hilo niweze kulifikisha kwako,” amesema Ndugulile wakati Rais
@SuluhuSamia aliposimama Kibada, kusalimia.
Kwa hiyo tunalipia daraja pamoja na ganji za waheshimiwa sana humo sio?Hili daraja limejengwa kwa bei ya kifisadi kutumia mfuko wa NSSF...wizara ya ujenzi chini ya Magufuli walipinga sana gharama hizo lakini mwisho wake Rais Kikwete alimpelekaMagufuli wizara ya vitoweo na katibu mkuu wake Mhandisi Kijazi akapelekwa ubalozi India..daraja likajengwa ...mpaka leo huo mzigo unalipwa na watanzania.
Kama madereva wa daladala wanalalamika kulipia hiyo 5000 basi waruhusiwe kupandisha nauli, raia atakayeona ni gharama apige mbizi...hakuna huruma, hizi kauli za wananchi wanyonge ndio zinachelewesha maendeleo, Tozo ni muhimu kwa ujenzi wa taifa!
Soma kwanza uelewe siyo unakurupuka kama umepigwa finger 5000 kila ikipita hiyo ikifanya safari 20 ni 5000 x 20 = 100000 kwa siku molaYaani unafuu wa maisha uletwe kwa kupunguza tozo hiyo ya daladala?hiyo 5000 si ni kama gharama ya lita 2 tu tu za mafuta?wakizungukia kongowe ni zaidi ya hizo lita 2, kwa hiyo hesabu iko pale pale tu, wanashindwa kupigia kelele vitu vya msingi eti tozo ya daladala/magari madogo!!
Daaaa!!wewe ndio umekurupuka kujibu bila kuelewa, hiyo 5000, ya tozo ya kuvukia hapo, kwa mala moja, ni sawa na lita 2 za diesel, sasa kama ana ona ni gharama sana, hilo daladala litoke machinga complex lipitie mbagala kwenda kigamboni alinganishe mafuta atakayotumia kuzungukia kule na hiyo tozo ya hapo!!kwanini hata wenye magari binafsi wanakimbilia kupitia hapo?kulinganisha na kuzungukia mbagala?!!sasa kwa akili yako unafikiria hizo tata kwa siku nzima wanatumia mafuta kiasi gani hadi uone hiyo laki 1, ya kulipia daraja ni kubwa sana?kwani akishamaliza tu daraja ni tayari amefika stendi ya feri, haya , na nauli yake ni kubwa kulinganisha na umbali uliopo hapo, kwani hiyo tozo wakati wanaiweka waliingiza kwenye nauli kabisa , na ndio maana kigamboni na kariakoo hapana umbali sana kulinganisha na nauli hiyo, angalia umbali uliopo toka mbagala hadi kawe na nauli, yake, au kariakoo hadi kisemvule!!SHAME ON U!!Soma kwanza uelewe siyo unakurupuka kama umepigwa finger 5000 kila ikipita hiyo ikifanya safari 20 ni 5000 x 20 = 100000 kwa siku mola
Bado ni mbunge kwa kutumia kofia ya ubunge anaweza kumshawishi rais.Alishindwa kushawishi akiwa waziri leo nani atamsikiliza? Hata mjumbe wa mtaa atampuuza tu!
Sijawahi kumuelewa huyoAlishindwa kushawishi akiwa waziri leo nani atamsikiliza? Hata mjumbe wa mtaa atampuuza tu!
Alipaswa kufanya hivyo akiwa bado waziri lakini sasa Rais ameshampuuza!Bado ni mbunge kwa kutumia kofia ya ubunge anaweza kumshawishi rais.
Wewe bila shaka ni mmoja wa makarani wanaokusanya tozo, ni mmoja wwanufaika wa tozo hizo.Kama madereva wa daladala wanalalamika kulipia hiyo 5000 basi waruhusiwe kupandisha nauli, raia atakayeona ni gharama apige mbizi...hakuna huruma, hizi kauli za wananchi wanyonge ndio zinachelewesha maendeleo, Tozo ni muhimu kwa ujenzi wa taifa!
Hivi hiyo picha uliyo weka hapo kwenye avata yako siyo lile jizi na fisadi kuu [emoji849][emoji849]ndiyo maana unaunga mkono mambo ya kihuni ya kifisadi bila ya akiliDaaaa!!wewe ndio umekurupuka kujibu bila kuelewa, hiyo 5000, ya tozo ya kuvukia hapo, kwa mala moja, ni sawa na lita 2 za diesel, sasa kama ana ona ni gharama sana, hilo daladala litoke machinga complex lipitie mbagala kwenda kigamboni alinganishe mafuta atakayotumia kuzungukia kule na hiyo tozo ya hapo!!kwanini hata wenye magari binafsi wanakimbilia kupitia hapo?kulinganisha na kuzungukia mbagala?!!sasa kwa akili yako unafikiria hizo tata kwa siku nzima wanatumia mafuta kiasi gani hadi uone hiyo laki 1, ya kulipia daraja ni kubwa sana?kwani akishamaliza tu daraja ni tayari amefika stendi ya feri, haya , na nauli yake ni kubwa kulinganisha na umbali uliopo hapo, kwani hiyo tozo wakati wanaiweka waliingiza kwenye nauli kabisa , na ndio maana kigamboni na kariakoo hapana umbali sana kulinganisha na nauli hiyo, angalia umbali uliopo toka mbagala hadi kawe na nauli, yake, au kariakoo hadi kisemvule!!SHAME ON U!!
Mkuu!!huyo ni koffi anan, mwafrika wa kwanza kuwa katibu mkuu wa UN, mwenye busara mingi kuliko hata wazungu!!!hilo suala la daraja huyo ndungulile anatafuta kiki tu hana lolote, kwani kipindi kile linaanza na SUMATRA, kuanzisha route hiyo yote hayo yaliwekwa kwenye calculations za nauli, ndio maana nauli ya kutoka machinga complex hadi kigamboni ni kubwa kulinganisha na umbali uliopo hapo!!tozo ina miaka karibia 5 leo ndio unaona inatesa , tena matajiri wenye magari?!Hivi hiyo picha uliyo weka hapo kwenye avata yako siyo lile jizi na fisadi kuu [emoji849][emoji849]ndiyo maana unaunga mkono mambo ya kihuni ya kifisadi bila ya akili
sidhani kama daladala lenye hesabu ya 100,000/= kwa tajiri linaweza kuzalisha 100,000/= ya ziada ya kuvuka darajaWananchi wa Kigamboni wanashukuru sana kwa ujenzi wa Daraja la Nyerere. Ni mkombozi mkubwa. Changamoto ni tozo. Daladala moja inatozwa Sh5,000 ikienda mara kumi kwenda na kurudi ni Sh100,000 kwa siku. Hapo hajaweka mafuta, hajaweka hela ya tajiri-@DocFaustine
“Nakuomba sana Rais twende tukaliangalie jambo hili. tuangalie jinsi gani tunaweza kuleta nafuu kwa wananchi wa Kigamboni na kufanya maisha yawe mepesi. Wananchi wamenituma hilo niweze kulifikisha kwako,” amesema Ndugulile wakati Rais
@SuluhuSamia aliposimama Kibada, kusalimia.