Ndumba mama ya Simba iliyofukuliwa uwanja wa Mkapa kipindi cha marekebisho itawagharimu sana, kuchezea uwanja wa karibu wa Uhuru sio suluhisho

Ndumba mama ya Simba iliyofukuliwa uwanja wa Mkapa kipindi cha marekebisho itawagharimu sana, kuchezea uwanja wa karibu wa Uhuru sio suluhisho

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Tangu uwanja wa Mkapa ulipoanza kutumika Simba imekuwa ikipata matokeo mabaya, Al Ahly waliokuwa hawatoki salama kwa Mkapa walitoa sare, Yanga imejipigia zake 5,

Leo hii umetumika uwanja wa uhuru lakini bado hili sio suluhisho.

Kipindi cha marekebisho ya uwanja, Yanga waliwazidi kete Simba wakapenyeza wataalam wao wa kamati za ufundi kuzuga ni vibarua kwenda kuharibu miundombinu ya ndumba za Simba, Shughuli nzito zaidi ilikuwa ni kuitoa Ndumba mama ya simbailiyokuwa imesakafiwa kwa zege zito sambamba na ulinzi wa majini,

shughuli ya kuitoa ndumba kuu ilihitaji wiki nzima, Kwanza kabisa ni visomo vingi sana na kafara za kuyapooza majini yanayolinda ndumba kuu, kisha baada ya hapo ndio magreda ya kutindua zege yanatumika, ni shughuli nzito sana zaidi ya kungoa visiki ndio maana zoezi hili lilifanyika kwenye marekebisho.

Ndumba mama ni roho ya ndumba zingine, bila ndumba mama ya Simba inakuwa ngumu ndumba zingine kufanya kazi kama zile za wachezaji kuvaa viunoni, wachezaji kutumwa kumwaga dawa kabla ya mechi, n.k.

Kilichofanyika ni kuifukua ndumba mama na kuichoma na kisha kuweka ndumba ya kuzuia nguvu za ndumba za Simba, Ndumba iliyowekwa kwa sasa inafika mpaka uwanja wa uhuru , ni sawa na ukipitisha sumaku karibu na chuma, Ndumba hii pia inaweza kutumika kama rimoti kutia mikosi kwenye mechi za Simba hata za uwanja wa karibu, mipira kugonga mwamba, wachezaji kupata majeruhi, kujisahau, n.k.
 
Tangu uwanja wa Mkapa ulipoanza kutumika Simba imekuwa ikipata matokeo mabaya, Al Ahly waliokuwa hawatoki salama kwa Mkapa walitoa sare, Yanga imejipigia zake 5,

Leo hii umetumika uwanja wa uhuru lakini bado hili sio suluhisho.

Kipindi cha marekebisho ya uwanja, Yanga waliwazidi kete Simba wakapenyeza wataalam wao wa kamati za ufundi kuzuga ni vibarua kumbe kuna shughuli yao maalum, Uwanja wa Mkapa ulikuwa na Ndumba mama ya simba, Ndumba mama ni roho ya ndumba zingine, mfano bila ndumba mama ya Simba inakuwa ngumu ndumba zingine kufanya kazi kama zile za wachezaji kuvaa viunoni, wachezaji kutumwa kumwaga dawa kabla ya mechi, n.k.

Kilichofanyika ni kuifukua ndumba mama na kuichoma na kisha kuweka ndumba ya kuzuia nguvu za ndumba za Simba, Ndumba iliyowekwa kwa sasa inafika mpaka uwanja wa uhuru , ni sawa na ukipitisha sumaku karibu na chuma, Ndumba hii pia inaweza kutumika kama rimoti kutia mikosi kwenye mechi za Simba hata za uwanja wa karibu, mipira kugonga mwamba, majeruhi, kujisahau, n.k.
cha kushangaza kuna wapumbavu watakuamini 100% kweli kweli kwa hii story yako uliyoitunga kiustadi kabisa
 
Mwanaume ukijua tu Kukaza vizuri Kamba na yule Unayemkazia Kamba yake akifurahi basi tegemea tu kila wakati atakuwa anapenda Kukutajataja Mkazaji Kamba wake ili usiache na ukahamia Kuwakazia Kamba Wengine.
ONYO: Msimchukulie serious huyu alieandika hizi pumba hapa juu,huyu ni Certified Idiot wa Jamiiforums,Dr kamshauri awe anaandika pumba ili kupunguza kiwango cha ujinga wake kwenye ubongo.
 
Mashabiki wa Simba karibia wote mnaugua ugonjwa wa akili.

Hamna mnachoweza kuzungumza zaidi ya ushirikina tu.
 
Acha uzushi na uongo usio na maana.

Jf ni Home of Great thinkers.

Uliona lini Grader linatpita kuchimba uwanja na kung'oa nyasi taifa?????

Je una kielelezo cha picha ama video????

Uwanja una awamu tatu za Maboresho hakuna sehemu ya kuchezea mpira iliyoguswa.

TUEPUKE MAMBO YA UZISHI....
 
Simba na Yanga kutokuwa na viwanja vyao ni aibu kubwa sana
 
Mashabiki wa Simba karibia wote mnaugua ugonjwa wa akili.

Hamna mnachoweza kuzungumza zaidi ya ushirikina tu.
Simba mwenye akili ni mmoja tu Rage the Great ajengewe sanamu haraka! Waliobaki wote ni punguani mafaili yanawasubiri kuandikishwa pale Mirembe wamekalia ubishi tu kukaa nasi wananchi mitaani na kutusumbua na makelele ooh Pira biriani sijui Pira objective wakati wote sehemu yao sahihi ni Mirembe hospital!

Yaani pamoja na kuwapa kipigo kitakatifu khamsa aka 5G eti Mbumbumbu wote Bado hawaoni na kukubali kama Yanga ni timu kali mno kwasasa weka mbali na watoto, Yanga kufika fainali Shirikisho Africa na kuwakanda USM Algers kwao mbele ya mashabiki wengi wenye mzuka ilitosha kuwa alert call kwa Simba day!!

Simba Kolowizard anzeni upya au mkacheze Rede Mpira wa miguu ushawashinda!! Ukibisha kafie mbereeeee!!!

Yanga oyeeeeeeee!!👌💪⚽🏆🏆🏆🏆🏆
 
Back
Top Bottom