D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,399
- 3,666
Mkuu habari yako. Naona jamaa amekuwahi seat hapo mbeleAsante kwa taarifa
Habari nzuri..haina shidaMkuu habari yako. Naona jamaa amekuwahi seat hapo mbele
Ndumbaro ndo alikuwa mtu wa kwanza kumchoma malinzi kuwa anatumia vibaya hela za wadhamini,alipuuzwa ila aliweka data kwenye media,na huenda aliyajua mengi sana
May Allah bless Me and You
Kamati ya rufaa ya nidhamu ya TFF leo imemfungulia wakili, Damas Ndumbaro aliyekuwa amefungiwa miaka saba kujihusisha na masuala ya soka Huku rais wa TFF hatma yake ikiwa haijulikani hadi july 30
sent from my senderx9 lite using jamiiforums mobile app
FafanuaWatu wa mabwawani naona wapo kimya, au sauti za vyura zimewatia wazimu?