Ndumbaro huru waliomfunga ndani

Ndumbaro huru waliomfunga ndani

D Metakelfin

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
3,399
Reaction score
3,666
Kamati ya rufaa ya nidhamu ya TFF leo imemfungulia wakili, Damas Ndumbaro aliyekuwa amefungiwa miaka saba kujihusisha na masuala ya soka Huku rais wa TFF hatma yake ikiwa haijulikani hadi july 30

sent from my senderx9 lite using jamiiforums mobile app
 
Ndumbaro ndo alikuwa mtu wa kwanza kumchoma malinzi kuwa anatumia vibaya hela za wadhamini,alipuuzwa ila aliweka data kwenye media,na huenda aliyajua mengi sana

May Allah bless Me and You
 
Ndumbaro ndo alikuwa mtu wa kwanza kumchoma malinzi kuwa anatumia vibaya hela za wadhamini,alipuuzwa ila aliweka data kwenye media,na huenda aliyajua mengi sana

May Allah bless Me and You

Huyu Ndumbaru naye si lolote. Alivyowapiga vita wapinzani wa Aveva kwenye uchaguzi wa SSC lazima yatamkuta mabaya. Tena ana bahati. Asingekuwa amefungiwa si angeshirikiana na kina Aveva na Kaburu kutakatisha pesa za Simba na leo angekuwa selo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kamati ya rufaa ya nidhamu ya TFF leo imemfungulia wakili, Damas Ndumbaro aliyekuwa amefungiwa miaka saba kujihusisha na masuala ya soka Huku rais wa TFF hatma yake ikiwa haijulikani hadi july 30

sent from my senderx9 lite using jamiiforums mobile app

Walec Karia anatafuta kura kila zilipo kwa maoni yangu ndo raisi mpya wa TFF
 
Back
Top Bottom