Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
"Serikali inayo fursa ya kutoa maoni juu ya uboreshwaji wa jezi pasipo kuwa na ulazima wa kuingilia mkataba."- Damas Ndumbaro, Mbunge wa Songea Mjini ambae alikuwa Waziri wa Michezo.
Anasema mjadala huu wa jezi hauna afya katika kipindi hiki ambacho tunajiandaa kwenda Afcon.
"Ukiisoma barua ya waziri kuna vitu vipo kwenye mabano imesema tunataka tuuchunguze mkataba. Anaweza kuchunguza mkataba ulivyopatikana, Ulivyoyekelezwa. Tumpe nafasi afanye anachotaka kufanya mwishoni tuta conclude"
Soma Pia: Sandaland: Kwa mujibu wa Mkataba, aliyepaswa kuzikataa Jezi ni TFF, wakati tumepeleka 'sample' kama hazikuwa na ubora