Ndumbaro: Niliusoma mkataba wa TFF na Sandaland kisheria upo sawa na manufaa

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
"Serikali inayo fursa ya kutoa maoni juu ya uboreshwaji wa jezi pasipo kuwa na ulazima wa kuingilia mkataba."- Damas Ndumbaro, Mbunge wa Songea Mjini ambae alikuwa Waziri wa Michezo.

Anasema mjadala huu wa jezi hauna afya katika kipindi hiki ambacho tunajiandaa kwenda Afcon.

"Ukiisoma barua ya waziri kuna vitu vipo kwenye mabano imesema tunataka tuuchunguze mkataba. Anaweza kuchunguza mkataba ulivyopatikana, Ulivyoyekelezwa. Tumpe nafasi afanye anachotaka kufanya mwishoni tuta conclude"

Soma Pia: Sandaland: Kwa mujibu wa Mkataba, aliyepaswa kuzikataa Jezi ni TFF, wakati tumepeleka 'sample' kama hazikuwa na ubora

Your browser is not able to display this video.
 
Bashite inaonekana viongozi wenzake hawamkubali kiivyo, ajitafakari sana kwenye njia zake.

Ajifunze kutokuzungumza sana wakati wa kula, ukiacha MAGUFULI, waliopo kwenye nafasi kwa sasa bado wana hasira nae tokea enzi ya magufuli.

Anyways, acha tuone. Bahari ikitulia tutajua nani alikuwa anaogelea bila nguo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…