Ndungai hajatoa taarifa ya kusema alinukuliwa vibaya, hivyo alidhamiria kusema alichose na, Dk Tulia, anza kupiga jaramba

Ndungai hajatoa taarifa ya kusema alinukuliwa vibaya, hivyo alidhamiria kusema alichose na, Dk Tulia, anza kupiga jaramba

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Bila shaka Ndungai alidhamiria kusema alichosema kwa kuisema serikali. Nnadhani Sasa SSH aanze kusuka watu watakaoliongoza Bunge muda si mrefu, au baada ya uchaguzi wa 2025, Tulia, kaa kwa tahadhari,jamaa wa kongwa ameshajua kiti hicho utakikalia, asije akakufanyia mambo yake aliyoyasema Humphrey
 
Unajuaje Kama tulia yupo pamoja na mama Samia.
Lakini hii mbona sio issue sana maana hata samweli sitta alikuwa Akimpinga kikwete
 
Bunge n muhimili unaojitegemea

Sasa Rais anasukaje bunge ?

Litakosa kujitegemea litakuwa bunge la Rais

Sijaona kosa la ndugai n maon yake binafs anahak Kama mtanzania mwingine kutoa maon yake

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwani ndugai hawezi kuitisha bunge la kutokuwa na imani na rais

Ndugai ni muhimili akiamua atumie vizuri uhumili wake tutaingia uchaguzi mwingine

Job toa ratiba wabunge tuhudhurie
 
Kwani ndugai hawezi kuitisha bunge la kutokuwa na imani na rais

Ndugai ni muhimili akiamua atumie vizuri uhumili wake tutaingia uchaguzi mwingine

Job toa ratiba wabunge tuhudhurie
Hujaijua vizuri CCM wewe.
 
Back
Top Bottom