Huyu mliyempitisha bila kupingwa ili aongeze nguvu kwenye kampeni 2020.Huwezi kamwe kumwelewa ndugai,Mimi huwa namwita zero brain,huenda hata yeye huko aliko hajui aliongea nini!!!
Digba sowey Leo nawe unamkana rafiki yako, basi Dunia duara Tena kweri kweri🏃.Huwezi kamwe kumwelewa ndugai,Mimi huwa namwita zero brain,huenda hata yeye huko aliko hajui aliongea nini!!!
Hujaijua vizuri CCM wewe.Kwani ndugai hawezi kuitisha bunge la kutokuwa na imani na rais
Ndugai ni muhimili akiamua atumie vizuri uhumili wake tutaingia uchaguzi mwingine
Job toa ratiba wabunge tuhudhurie