Zungu anastaafu siasa na kumuachia kijana wake Busuro?Ferry ni jimbo la Ilala kwa Zungu [emoji23]
Hao waandamaji hawajijui wala hawajitambui kuwa huwezi kumuondoa mbunge, wasubiri miaka 5!.Mheshimiwa jiandae, kuna wadau wanajikusanya hapa Ferry kuandaa maandamano kushinikiza uondolewe, maana huwasaidii.
Zungu mbunge ilala ila anaishi kigamboni [emoji1]Ferry ni jimbo la Ilala kwa Zungu [emoji23]
Okay sawa. ni muhimu sana hiloMheshimiwa jiandae, kuna wadau haswa wa daladala na abiria wazawa wa Kigamboni wanajikusanya hapa Ferry kuandaa maandamano kushinikiza uondolewe, maana huwasaidii. Kama utawahi nenda hapo kwenye bajaj wapo.
Na hii ni baada ya kuondolewa kwa daladala zote zilizokuwa zinaishia Ferry, ambazo kwa sasa zitaishia Posta Mpya.
Huku bara hakuwahusu.Mheshimiwa jiandae, kuna wadau haswa wa daladala na abiria wazawa wa Kigamboni wanajikusanya hapa Ferry kuandaa maandamano kushinikiza uondolewe, maana huwasaidii. Kama utawahi nenda hapo kwenye bajaj wapo.
Na hii ni baada ya kuondolewa kwa daladala zote zilizokuwa zinaishia Ferry, ambazo kwa sasa zitaishia Posta Mpya.
Naunga mkono hoja..JPM ndo aliharibu mazingira ya CBD Dar yaani vibajaji vya watu wachafu2 na piki2 posta ni aibu kubwa kwa image ya Tanzania! Miji mingine duniani ni taxi tu na tram na mabasi makubwa! JPM na ushamba wake ndo haya tunayaona leo! YAANI ARUSHA NA MBEYA PIA NI KERO SANA VIBAJAJI NA PIKI2 NI LAZIMA UFUMBUZI UPATIKANE KWANI JPM ALISHAKUFA
Wateja wakubwa wa zile Daladala pale Kwa jimbo la Zungu ni wakaazi wa Kigamboni Kwa Ndungulile sasa zimeondolewa unazan hapo nani wakaazi wake wataumia, kumbuka hao wakaazi wa kigambon Kwa Ndungulile ndio Pelee ambao wakitaka kwenda kwao au kutoka kwao lazma walipie nchi nzima hakuna kama hao.Hahah kwahiyo hawataki kupisha ujenzi wa Mradi wa Mwendokasi?? Mbunge wa hapo Wala sio Mr Faustin ni Zee la Kazi Zungu De Agrey
Kituo cha Ferry kilichoko jimbo la ilala ni njia kuu ya wakazi wengi wa Kigamboni wanaokuja mjini, ukiacha darajani na kuzungukia Kongowe.Hahah kwahiyo hawataki kupisha ujenzi wa Mradi wa Mwendokasi?? Mbunge wa hapo Wala sio Mr Faustin ni Zee la Kazi Zungu De Agrey
Mnaendekeza hoja za kijinga sana, sijui hata uwezo wa wananchi kufikiri ukoje. Yaani tusifanye maendeleo kisa mtu hawezi kutembea toka Ferry kwenda Posta??Wateja wakubwa wa zile Daladala pale Kwa jimbo la Zungu ni wakaazi wa Kigamboni Kwa Ndungulile sasa zimeondolewa unazan hapo nani wakaazi wake wataumia, kumbuka hao wakaazi wa kigambon Kwa Ndungulile ndio Pelee ambao wakitaka kwenda kwao au kutoka kwao lazma walipie nchi nzima hakuna kama hao.
Inaonyesha bado una hasira na kisichokuwepo?JPM ndo aliharibu mazingira ya CBD Dar yaani vibajaji vya watu wachafu2 na piki2 posta ni aibu kubwa kwa image ya Tanzania! Miji mingine duniani ni taxi tu na tram na mabasi makubwa! JPM na ushamba wake ndo haya tunayaona leo! YAANI ARUSHA NA MBEYA PIA NI KERO SANA VIBAJAJI NA PIKI2 NI LAZIMA UFUMBUZI UPATIKANE KWANI JPM ALISHAKUFA
Mtoa mada kaja juzi mjini bado hajui kitu wala historia ya kigamboniMleta uzi pole, Ferry sio jimbo la kigamboni kwa Ndungulile