Tetesi: Ndungulile, kuna maandamano yanapangwa hapa Kigamboni kupinga kuondolewa kwa Stendi ya Mabasi ya Ferry

Tetesi: Ndungulile, kuna maandamano yanapangwa hapa Kigamboni kupinga kuondolewa kwa Stendi ya Mabasi ya Ferry

Mheshimiwa jiandae, kuna wadau haswa wa daladala na abiria wazawa wa Kigamboni wanajikusanya hapa Ferry kuandaa maandamano kushinikiza uondolewe, maana huwasaidii. Kama utawahi nenda hapo kwenye bajaj wapo.

Na hii ni baada ya kuondolewa kwa daladala zote zilizokuwa zinaishia Ferry, ambazo kwa sasa zitaishia Posta Mpya.

Watumiaji wakubwa wa hicho kituo cha Ferry ni wale wanaotoka au wanaokwenda Kigamboni. Sasa wakishavuka kutokea Kigamboni watalazimika kutembea mpaka Posta mpya ndio wakute daladala.
stand ya mabasi ferry inataka kupelekwa wapi?
 
Mtoa mada kaja juzi mjini bado hajui kitu wala historia ya kigamboni
Hebu tuambie wewe uliekwepo kitambo na kitambo maana mie nmekuambia kinachotokea apa wewe unaleta kwamba mwenyeji
 
Kuandamana siyo lazima mbunge aondolewe, ni kitendo Cha kutumia ujumbe tu kwamba jambo Hilo hawalitaki.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hoja, maandamano ama ni to show support or protest, ila mletamada aliandika
Mheshimiwa jiandae, kuna wadau wanajikusanya hapa Ferry kuandaa maandamano kushinikiza uondolewe, maana huwasaidii.
Nikamjibu, huwezi kumuondoa mbunge, akiisha chaguliwa ni kusubiria miaka 5!, hakuna utaratibu wowote wa kumuondoa!. Watu wanaoweza kuondolewa baada ya kuchaguliwa ni rais wa JMT, kwa kuondolewa na Bunge, na Waziri Mkuu wa JMT kwa kupigiwa kura ya kutokuwa na Imani. Pia wabunge wana uwezo wa kumuondoa Spika wa Bunge. Lakini, Makamo wa Rais, Wabunge na Madiwani wakiisha chaguliwa, hawawezi kuondolewa hadi miaka 5!. Ule uondoaji wa kuwafutia uanachama hivyo kupoteza ubunge, udiwani, ni illegal, ni kinyume cha katiba!. Sijui ni kwanini Tanzania bado tunaikumbatia illegality hii?.

P
 
Mheshimiwa jiandae, kuna wadau haswa wa daladala na abiria wazawa wa Kigamboni wanajikusanya hapa Ferry kuandaa maandamano kushinikiza uondolewe, maana huwasaidii. Kama utawahi nenda hapo kwenye bajaj wapo.

Na hii ni baada ya kuondolewa kwa daladala zote zilizokuwa zinaishia Ferry, ambazo kwa sasa zitaishia Posta Mpya.

Watumiaji wakubwa wa hicho kituo cha Ferry ni wale wanaotoka au wanaokwenda Kigamboni. Sasa wakishavuka kutokea Kigamboni watalazimika kutembea mpaka Posta mpya ndio wakute daladala.
Jamani mkifanya maandamano watafuteni wana CCM mwape kichapo waende wakawambie viongozi wao tumewachoka. Tujifunze toka kwenye tukio la Tunduma, Chadema wameonesha njia.
 
Naunga mkono hoja, maandamano ama ni to show support or protest, ila mletamada aliandika

Nikamjibu, huwezi kumuondoa mbunge, akiisha chaguliwa ni kusubiria miaka 5!, hakuna utaratibu wowote wa kumuondoa!.
P
Nadhani ifike mahali maandamano yakifanyika wananchi watafute wana CCM kama nyie mpigwe makofi hata matatu mwende mkawambie viongozi wenu tumewachoka.
 
Mkuu. Umenishtua. Kwa ninavyoelewa mimi, Ferry ni upande wa Kigamboni na Kivukoni ni upande wa Posta.
If am correct, upande wa Kivukoni mbunge wao ni mbunge wa Ilala bwana Zungu.
 
Back
Top Bottom