Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
stand ya mabasi ferry inataka kupelekwa wapi?Mheshimiwa jiandae, kuna wadau haswa wa daladala na abiria wazawa wa Kigamboni wanajikusanya hapa Ferry kuandaa maandamano kushinikiza uondolewe, maana huwasaidii. Kama utawahi nenda hapo kwenye bajaj wapo.
Na hii ni baada ya kuondolewa kwa daladala zote zilizokuwa zinaishia Ferry, ambazo kwa sasa zitaishia Posta Mpya.
Watumiaji wakubwa wa hicho kituo cha Ferry ni wale wanaotoka au wanaokwenda Kigamboni. Sasa wakishavuka kutokea Kigamboni watalazimika kutembea mpaka Posta mpya ndio wakute daladala.
Huyo jamaa atakufa kwa kihoroInaonyesha bado una hasira na kisichokuwepo?
Kuandamana siyo lazima mbunge aondolewe, ni kitendo Cha kutumia ujumbe tu kwamba jambo Hilo hawalitaki.Hao waandamaji hawajijui wala hawajitambui kuwa huwezi kumuondoa mbunge, wasubiri miaka 5!.
P
DP Wedistand ya mabasi ferry inataka kupelekwa wapi?
Naunga mkono hoja, maandamano ama ni to show support or protest, ila mletamada aliandikaKuandamana siyo lazima mbunge aondolewe, ni kitendo Cha kutumia ujumbe tu kwamba jambo Hilo hawalitaki.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nikamjibu, huwezi kumuondoa mbunge, akiisha chaguliwa ni kusubiria miaka 5!, hakuna utaratibu wowote wa kumuondoa!. Watu wanaoweza kuondolewa baada ya kuchaguliwa ni rais wa JMT, kwa kuondolewa na Bunge, na Waziri Mkuu wa JMT kwa kupigiwa kura ya kutokuwa na Imani. Pia wabunge wana uwezo wa kumuondoa Spika wa Bunge. Lakini, Makamo wa Rais, Wabunge na Madiwani wakiisha chaguliwa, hawawezi kuondolewa hadi miaka 5!. Ule uondoaji wa kuwafutia uanachama hivyo kupoteza ubunge, udiwani, ni illegal, ni kinyume cha katiba!. Sijui ni kwanini Tanzania bado tunaikumbatia illegality hii?.Mheshimiwa jiandae, kuna wadau wanajikusanya hapa Ferry kuandaa maandamano kushinikiza uondolewe, maana huwasaidii.
Jamani mkifanya maandamano watafuteni wana CCM mwape kichapo waende wakawambie viongozi wao tumewachoka. Tujifunze toka kwenye tukio la Tunduma, Chadema wameonesha njia.Mheshimiwa jiandae, kuna wadau haswa wa daladala na abiria wazawa wa Kigamboni wanajikusanya hapa Ferry kuandaa maandamano kushinikiza uondolewe, maana huwasaidii. Kama utawahi nenda hapo kwenye bajaj wapo.
Na hii ni baada ya kuondolewa kwa daladala zote zilizokuwa zinaishia Ferry, ambazo kwa sasa zitaishia Posta Mpya.
Watumiaji wakubwa wa hicho kituo cha Ferry ni wale wanaotoka au wanaokwenda Kigamboni. Sasa wakishavuka kutokea Kigamboni watalazimika kutembea mpaka Posta mpya ndio wakute daladala.
Nadhani ifike mahali maandamano yakifanyika wananchi watafute wana CCM kama nyie mpigwe makofi hata matatu mwende mkawambie viongozi wenu tumewachoka.Naunga mkono hoja, maandamano ama ni to show support or protest, ila mletamada aliandika
Nikamjibu, huwezi kumuondoa mbunge, akiisha chaguliwa ni kusubiria miaka 5!, hakuna utaratibu wowote wa kumuondoa!.
P