Ndwele ni nini?

Ndwele ni nini?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Waswahili wana msemo wao unasema " Yaliyopita Si Ndwele " Swali langu ni " NDWELE NI KITU GANI?. Nasubiri kusikia kutoka kwenu wana JF.




" Mpango wa Mungu kwa wanadamu ni kwamba wanadamu waishi maisha yao yote kama watoto wadogo, ndio maana tunapozaliwa huwa tunakuwa watoto na tunaishi maisha ya kitoto, tukiwa watu wazima tuna zaa watoto na kurudia kuyaishi tena maisha yetu ya utotoni kupitia watoto wetu, na tunapozeeka tunapata wajukuu na kuendelea kuishi maisha yetu ya utotoni kupitia wajukuu wetu ".......Me says that.
 
Back
Top Bottom