habari wakuu! ndwika girls ni shule iliyopo wilayani masasi mkoani mtwara ni shule ya serikal bweni lakin namna inavyoendeshwa utadhan ni shule inayomilikiwa na mkuu na walim wke kwan wanajiamulia watakavyo wao km hili la kugrade wanafunz kwa kubagua wale wenye uelewa mdogo kuwaweka darasa B hasa wale wanaohamia toka shule za kutwa na wale wnye uelewa mkubwa huwekwa darasa A (hii ni kwa madarasa yote form one mpk four) mbaya zaid nikwamba walimu huingia zaid darasa A bila yakujali vipndi vilivyopo kule B yan topic moja inawza kuisha darasa A lakn kule B isifundshwe kabisa mpk muda wa mitihan ambapo walim hufka B kuwarashrashi ili walau wawe na cha kujibu mimi naona hawapo fair kwan ni bora wafanye hivyo lakn wawafundshe bila kupendelea upande mmoja ili kuweka ushndani ulio sawa yan kwa kweli hali inatisha kwa hawa watoto walio madarasa ya B! Ni hayo tu wakuu naomba kuwasilisha