Ne-Yo Azibua watu Maskio kwa anachokiona kwa Diamond Platnumz Apanda Stegini na biti ya Hallelujah

Ne-Yo Azibua watu Maskio kwa anachokiona kwa Diamond Platnumz Apanda Stegini na biti ya Hallelujah

DavidSky

Member
Joined
Oct 21, 2017
Posts
51
Reaction score
45
Ne-Yo Azibua watu Maskio kwa anachokiona kwa Diamond Platnumz Apanda Stegini na biti ya Hallelujah
 
Duu asee hhluu unazi utawaua kwa sikio lako kabisa unasika hiyo biti inaendana na anachokiimba neyo!!!?
 
Hapanaa aseee..
Hiyo beat ya Diamond imeingiziwa tu kweny hiyo video kwa unazi wenu wa kutengeneza kiki..
 
Mata.k.o kweli mtoa maada,we unaona kuna link Hapo,upuuzi tu
 
Chris Brown ashaimba Seduce me live, sema Ali Kiba hapendi show off tu.
 
Ushabiki wa kiwango cha standard gauge...
 
Back
Top Bottom