Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
Wizzy hawana hela ya kumlipa....Keshachuja huyo.....wamlete lil wiz
teh teh tehbora hata wangemleta usher
Wapi kasema hivyo?Daaah huyu atakuwa kafulia sana aisee yani anashindana mpaka na diamond??duuuh!!!