Uchaguzi 2020 NEC: Hatuna mgombea aliyejitoa mbio za urais

Sisi tunamjua mgombea mmoja tu Lissu , hayo mavipenyo yenu mlioyapandikiza na huyo mgonjwa wenu wa malukanga kila anapokaa feni mtajijua wenyewe .
 

Kivuko kipya ukara ukerewe,mtatoboa kweli ukerewe?
 
Kumbe utaratibu wa kufuata alphabet NEC wanaujua vizuri hivi? Sasa kwa nini kwenye karatasi ya kura hawakufuta alphabet?
Alisema vyama vilivyoteuliwa ni pamoja na AAFP, ACT Wazalendo, ADA TADEA, ADC, CCM ,CCK, CHADEMA, CHAUMMA, Chama cha Wananchi CUF, DP, Demokrasia Makini, NRA, NCCR Mageuzi, SAU, UMD na UPDP.
 
Matumizi mazuri ya pesa za umma,nyie mliruhusu Mbowe na Joyce Mukya wazitafune. Ndio mtaweza kuendesha nchi? Naenda Kakola kuchoma kuku(...)
Kweni CCM imekaa madarakani miaka mingapi Ferry hata Wakoloni wakatuletea ila tukawaambia bila HAKI na Maendeleo ya WATU fungasheni
 
Watumishi wote na familia zao kura kwa lissu,mmeteseka kwa kukandamizwa stahiki zenu kwa muda mrefu sanaa.Miaka 5 mmekuwa kituko mtaani maisha yenu.
 
Hatimae Lissu ampigisha Push up Magufuli 🤣🤣
 
Membe si ni kachero mbobezi?
 
Hakuna sehemu ya katiba inayosema rudi nyumbani usubiri matokeo, unaweza subiri hapohapo wanapohesabu kura wanataja kwa sauti kabisa chama gani kimeshinda na paper mnaiona mnaweka na hesabu zenu pembeni. Polisi wanaweza leta vurugu ila hakuna kuondoka, as long as watu hamna fujo hakuna haja ya vurugu.
Tunajua jiwe kishaandaa watu watakaoanzisha fujo ili kuwapa polisi sababu ya kujitetea kwa nini wameondoa watu kwa nguvu. Shenzi sana
 

Warudi NYUMBANI au Wakae UMBALI USIOPUNGUA MITA 200(Mia mbili)?

"UWAZI NA UKWELI"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…