King Kisali
JF-Expert Member
- Nov 20, 2019
- 1,041
- 1,349
Sisi tunamjua mgombea mmoja tu Lissu , hayo mavipenyo yenu mlioyapandikiza na huyo mgonjwa wenu wa malukanga kila anapokaa feni mtajijua wenyewe .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanda yote ya Ziwa tulikuwa na Wasiwasi Ukerewe ila nako tumeshamalizana nao Nyanda za Juu Kusini tumeshaifuta CCM ya mabavu Kanda ya Kaskazini hadi Wamasai waliokuwa Wagumu sasa wamelainika Waswahili wa Tanga ndio bado hawaeleweki
Tunakuja kufunga kazi Ng'wani ya Dalesalama
Mzalendo mwenzetu.Twende na Membe 2020.
Alisema vyama vilivyoteuliwa ni pamoja na AAFP, ACT Wazalendo, ADA TADEA, ADC, CCM ,CCK, CHADEMA, CHAUMMA, Chama cha Wananchi CUF, DP, Demokrasia Makini, NRA, NCCR Mageuzi, SAU, UMD na UPDP.
Kweni ni Hisani au ni WajibuView attachment 1606592
Kivuko kipya ukara ukerewe,mtatoboa kweli ukerewe?
Matumizi mazuri ya pesa za umma,nyie mliruhusu Mbowe na Joyce Mukya wazitafune. Ndio mtaweza kuendesha nchi? Naenda Kakola kuchoma kuku(...)Kweni ni Hisani au ni Wajibu
Kweni CCM imekaa madarakani miaka mingapi Ferry hata Wakoloni wakatuletea ila tukawaambia bila HAKI na Maendeleo ya WATU fungasheniMatumizi mazuri ya pesa za umma,nyie mliruhusu Mbowe na Joyce Mukya wazitafune. Ndio mtaweza kuendesha nchi? Naenda Kakola kuchoma kuku(...)
Ahaaaa,mv ukara imepata ajali ndani ya muda mfupi meli ya bil 4 inatengenezwa unadhani ni usanii? Mwambie Peneza asivae chupi!Tupingane tu kwa Hoja wamwise sisi ni wamoja Tanzania ni moja
Muache Upendo, sema Leo niko Soba ila ungetoshaUsiondoke kwenye mada,nipo kakola,nachoma kuku.
Nimetoka Segese nimekuja Kakola nachoma kuku,mengineyo hayakuhusu.Tujikite kwenye mada.Usiondoke kwenye mada,nipo kakola,nachoma kuku.
Haki kwanzaAmani wajameni amani ndio nguzo kuu ya furaha
Membe si ni kachero mbobezi?Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema haina taarifa wala haijapokea maelezo rasmi ya kuwapo mgombea wa urais wa Muungano, aliyejitoa kushiriki uchaguzi mkuu wiki ijayo.
Akizungumza na wadau wa uchaguzi Visiwani Zanzibar, Kamishna wa NEC, Hasina Omar alisema kutofanya kampeni kwa baadhi ya wagombea wa urais hakuwaondolei sifa ya ugombea kwenye uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Jumatano ijayo.
NEC imepitisha wagombea 17 kati ya 19 walioomba kuteuliwa nafasi hiyo ambao watapigiwa kura katika uchaguzi mkuu huo.
Alisema vyama vilivyoteuliwa ni pamoja na AAFP, ACT Wazalendo, ADA TADEA, ADC, CCM ,CCK, CHADEMA, CHAUMMA, Chama cha Wananchi CUF, DP, Demokrasia Makini, NRA, NCCR Mageuzi, SAU, UMD na UPDP.
Alibainisha kwamba NEC imeteua wagombea urais na makamu wao kutoka vyama 15 vya siasa ambapo katika uteuzi huo wanawake wawili walijitokeza na kuteuliwa kugombea kiti cha urais wakati watano wanagombea nafasi ya makamu wa urais.
Alisema kutokana na hali hiyo NEC imepitisha wagombea wote na watakuwamo katika karatasi ya kupigia kura Jumatano ijayo.
Alieleza kwamba ni mara ya kwanza kwa Tanzania vyama vingi vya siasa kusimamisha wagombea wa kiti cha urais hali ambayo inaashiria kukua kwa demokrasia.
Mkurugenzi wa NEC, upande wa Zanzibar, Hamidu Mwanga, alisema kwa mujibu wa katiba ya Tanzania ibara ya 74 (6) tume inasimamia na kuratibu uchaguzi wa rais, wabunge na madiwani.
Hivyo, aliwahakikishia wananchi kuwa NEC itasimamia uchaguzi huo kwa kufuata katiba, sheria na miongozo ili uwe wa uwazi, uhuru na haki.
Akizungumzia utoaji wa matokeo siku ya uchaguzi alisema ni kosa la jinai kwa mgombea kutangaza matokeo na kazi hiyo inafanywa na tume pekee hivyo aliwasisitiza kujiepusha na kosa hilo.
Aliwaomba wananchi kujitokeza kwa wingi wiki ijayo Oktoba 28, kutumia haki yao kikatiba na pale wanapomaliza kupiga kura kurudi nyumbani kusubiri matokeo.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema haina taarifa wala haijapokea maelezo rasmi ya kuwapo mgombea wa urais wa Muungano, aliyejitoa kushiriki uchaguzi mkuu wiki ijayo.
Akizungumza na wadau wa uchaguzi Visiwani Zanzibar, Kamishna wa NEC, Hasina Omar alisema kutofanya kampeni kwa baadhi ya wagombea wa urais hakuwaondolei sifa ya ugombea kwenye uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Jumatano ijayo.
NEC imepitisha wagombea 17 kati ya 19 walioomba kuteuliwa nafasi hiyo ambao watapigiwa kura katika uchaguzi mkuu huo.
Alisema vyama vilivyoteuliwa ni pamoja na AAFP, ACT Wazalendo, ADA TADEA, ADC, CCM ,CCK, CHADEMA, CHAUMMA, Chama cha Wananchi CUF, DP, Demokrasia Makini, NRA, NCCR Mageuzi, SAU, UMD na UPDP.
Alibainisha kwamba NEC imeteua wagombea urais na makamu wao kutoka vyama 15 vya siasa ambapo katika uteuzi huo wanawake wawili walijitokeza na kuteuliwa kugombea kiti cha urais wakati watano wanagombea nafasi ya makamu wa urais.
Alisema kutokana na hali hiyo NEC imepitisha wagombea wote na watakuwamo katika karatasi ya kupigia kura Jumatano ijayo.
Alieleza kwamba ni mara ya kwanza kwa Tanzania vyama vingi vya siasa kusimamisha wagombea wa kiti cha urais hali ambayo inaashiria kukua kwa demokrasia.
Mkurugenzi wa NEC, upande wa Zanzibar, Hamidu Mwanga, alisema kwa mujibu wa katiba ya Tanzania ibara ya 74 (6) tume inasimamia na kuratibu uchaguzi wa rais, wabunge na madiwani.
Hivyo, aliwahakikishia wananchi kuwa NEC itasimamia uchaguzi huo kwa kufuata katiba, sheria na miongozo ili uwe wa uwazi, uhuru na haki.
Akizungumzia utoaji wa matokeo siku ya uchaguzi alisema ni kosa la jinai kwa mgombea kutangaza matokeo na kazi hiyo inafanywa na tume pekee hivyo aliwasisitiza kujiepusha na kosa hilo.
Aliwaomba wananchi kujitokeza kwa wingi wiki ijayo Oktoba 28, kutumia haki yao kikatiba na pale wanapomaliza kupiga kura kurudi nyumbani kusubiri matokeo.
Haki bila amani?Haki kwanza
20 mMko wangapi?