PreGE2025 NEC kuongeza Mashine za BVR na Watendaji kuboresha uandikishaji wa Wapiga Kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza kuongeza mashine za BVR na watendaji katika vituo vyenye msongamano mkubwa wa watu ili kuhakikisha uandikishaji na uboreshaji wa taarifa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unafanyika kwa ufanisi.

Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele, amesema hayo leo wakati wa ziara yake ya kukagua vituo vya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Dar es Salaam katika siku ya pili ya zoezi hilo.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Nimetembelea vituo kadhaa na kuona kuwa idadi ya wananchi waliojitokeza ni kubwa, hivyo vifaa vimeonekana kuwa vichache. Nimeagiza vifaa viongezwe na vituo viongezwe ili kupunguza msongamano," amesema Jaji Mwambegele.
 
well done NEC team 💪👊
 
Hao wanatafuta vitambulisho kwaajili ya kuambatanisha kwenye maombi ya vyeti vya kuzaliwa na NIDA, siyo kwajili ya upigaji kura.
 
Back
Top Bottom