Tatizo hawa ndugu wawili CCM A na CCM B(NEC) wamejengea watu dhana kuwa upinzani ni vurugu,matusi,uchochezi ilhali sio kweli hao ndugu wawili wanabebana kuliko kawaida!
Uchochezi ni kusema nitawaingiza watu barabarani. Kutumia vitisho kwamba asiposhinda "patachimbika" na kuongelea watu wengine kuwatuhumu badala ya kujiongelea wewe au mawazo yako.