NEC: Mawaziri, Wakuu wa mikoa na wilaya hawaruhusiwi kuingia kwenye vyumba vya kujumlishia kura!

Je wagombea wanaruhusiwa kuingia kuangalia upigaji na uhesabuji wa kura? Au ni mawakala wao tu?
Wagombea wanaruhusiwa kuingia katika kituo cha kupiga, kuhesabu na kujumlisha kura. Na sio mawakala wao pekee.
 
Inavoelekea mwaka huu mawaziri wataenda kupiga kura wakiwa na vyeo vyao na magari yao ya serikali!
 
Mbona katazo hili washalivunja siku nyingi tu
 
Kwahiyo mwaka huu walimu wa Shule za Umma hawatasimamia Uchaguzi ?! Maana nao ni wafanyakazi wa Umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…