Nemganga 1
Member
- Sep 17, 2020
- 5
- 1
Wagombea wanaruhusiwa kuingia katika kituo cha kupiga, kuhesabu na kujumlisha kura. Na sio mawakala wao pekee.Je wagombea wanaruhusiwa kuingia kuangalia upigaji na uhesabuji wa kura? Au ni mawakala wao tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wagombea wanaruhusiwa kuingia katika kituo cha kupiga, kuhesabu na kujumlisha kura. Na sio mawakala wao pekee.Je wagombea wanaruhusiwa kuingia kuangalia upigaji na uhesabuji wa kura? Au ni mawakala wao tu?
Ahadi za kujenga barabara na miradi ya maendeleo hazitolewi? Tume iliyo huru imechukua hatua gani kwa JON?Tume ipo huru sana,yani hapa sasa akuna kisingizio.