suala la daftari la kura litolewe ufafanuzu
Lakini mbona watu tunapenda zima moto mimi ni chadema damu,tatizo ni kwamba Kinachoongelewa sasa si uhalisia wa mambo.ukweli hasa ni huu
1.Tusitegemee watu kujaa mikutanoni ndio ushindi.Kuna watu wengi wanafika kila mkutano wa kila chama, Pia tumeshaona chaguzi zilizopita watu wengi kura chache.
2.Chadema as chadema haijashika nchi kutoka mijini to village.kwa bahati nzuri mimi nature ya kazi zangu ni rural areas naiona hali halisi.
Cha kufanya
1.Dk Slaa almost amekamilika na kwa sasa anafaa atukuzie chama, kutoka wabunge 5 mpaka wabunge 30 na kura za kutosha za urais kwa ruzuku ya kutosha chama kitakuwa juu sana.
2. Baada ya oct 31 kampeni ndio zianze nchi nzima(sio baada ya uchaguzi basi mpaka uchaguzi mwingine).tukiwa tumecover nchi yote kwa matawi imara ya chama na wanachama hai.Hatutakuwa na tatizo la kuibiwa kura kwani zitasimamiwa na members wetu.
n.