NEC nao wamesitisha Wito wa Tundu Lisu kama polisi au bado wanamsubiria?!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nauliza tu kama Tume ya taifa ya uchaguzi imetoa tamko lolote kuhusu wito wa Tume kumtaka Tundu Lisu aripoti Dodoma kujibu tuhuma kadha wa kadha.

Ni muda sasa tangu mkurugenzi wa uchaguzi atutangazie wito huo na saa 48 za kisheria zimeshapita.

Ni hilo tu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Ukute hata barua yenyewe ya wito hawajampelekea. Usicheze na TAL
 
Nauliza tu kama Tume ya taifa ya uchaguzi imetoa tamko lolote kuhusu wito wa Tume kumtaka Tundu Lisu aripoti Dodoma kujibu tuhuma kadha wa kadha.

Ni muda sasa tangu mkurugenzi wa uchaguzi atutangazie wito huo na saa 48 za kisheria zimeshapita.

Ni hilo tu.

Maendeleo hayana vyama!
John, washauri waache kujiaibisha. Waachane na Lisu as long as hajafanya "maasi". Kampeni za siasa ndivyo zilivyo. Kama Gwajima amemuomba msamaha Mh. Pengo, na matusi kedekede aliyomtukana, sembuse haya ya siasa !
 
Nauliza tu kama Tume ya taifa ya uchaguzi imetoa tamko lolote kuhusu wito wa Tume kumtaka Tundu Lisu aripoti Dodoma kujibu tuhuma kadha wa kadha.

Ni muda sasa tangu mkurugenzi wa uchaguzi atutangazie wito huo na saa 48 za kisheria zimeshapita.

Ni hilo tu.

Maendeleo hayana vyama!
Bwashee mbona Mama Samia haendagi mapumziko yeye? Au yeye ni robot lakini mzee ni nyama?
 
Mahera mwenyewe mwenye sheria yake wala hajui kuwa tuhuma za Lissu zilitakiwe zipelekwe kwa maandishi. Lissu kamkumbusha sijui atafanya hivyo au atakausha, uamuzi ni wake.
 
Nauliza tu kama Tume ya taifa ya uchaguzi imetoa tamko lolote kuhusu wito wa Tume kumtaka Tundu Lisu aripoti Dodoma kujibu tuhuma kadha wa kadha.

Ni muda sasa tangu mkurugenzi wa uchaguzi atutangazie wito huo na saa 48 za kisheria zimeshapita.

Ni hilo tu.

Maendeleo hayana vyama!

Mbende mbende haaaaaa haaaaaa 😎
 
Hatutasita kuchukua hatua kali. . . .
tapatalk_1601560994529.jpeg
 
Nauliza tu kama Tume ya taifa ya uchaguzi imetoa tamko lolote kuhusu wito wa Tume kumtaka Tundu Lisu aripoti Dodoma kujibu tuhuma kadha wa kadha.

Ni muda sasa tangu mkurugenzi wa uchaguzi atutangazie wito huo na saa 48 za kisheria zimeshapita.

Ni hilo tu.

Maendeleo hayana vyama!
Wameona akienda atawaumbua. Maana ashasema NEC kwanza wamuite Magufuli atoe maelezo ya kutishia wapiga kura, kutoa ahadi za kiserikali, kutishia kuwachakaza Iringa kwa kodi ya mbao wasipochagua CCM, kutishia kuua watu kwa Kiu huko Bunda na jana Tunduma, na mauchafu kibaoooo ambayo mzee baba anafanya kwakosa la kutokuwa na meneja wakumshauri.
 
Huyu Mkurugenzi wetu naona mnamchanganya tu, mara barua za Robati, mara za waangalizi wa nje, mara Marekani...Mara rufaa za wagombea hajatoa....mara darasa la Lissu kuhusu maadili ya uchaguzi.. loh sasa ashike lipi?

Kazi ni ngumu mno kweli kweli ya safari hii.
 
Nauliza tu kama Tume ya taifa ya uchaguzi imetoa tamko lolote kuhusu wito wa Tume kumtaka Tundu Lisu aripoti Dodoma kujibu tuhuma kadha wa kadha.

Ni muda sasa tangu mkurugenzi wa uchaguzi atutangazie wito huo na saa 48 za kisheria zimeshapita.

Ni hilo tu.

Maendeleo hayana vyama!

Ni ngumu sana kutekeleza sheria kwa nia ovu na double standard. Ninachokiona ni mkwamo wa taasisi za kimamlaka kwenye kusimamia sheria, kwani mgombea wa ccm anavunja sheria waziwazi na hawamuambia chochote, wakati huohuo Lisu akiwa na uwezo mzuri wa kuzitafsiri hizo sheria bila hofu. Pia hiki kitendo cha nchi wahisani kufuatilia mwenendo wa uchaguzi, kunafanya iwe ngumu hila na double standard kufanyika.
 
Kumbuka anayekutuhumu ndiye anaandika hizo tuhuma na kuziwasilisha kwenye tume ya uchaguzi, kisha tume ikijilidhisha kwa mujibu wa sheria zake kwamba tuhuma zilizotolewa zina nguvu kisheria hivyo tume sasa wanampelekea mtuhumiwa.
 
Tume wanavizia vizia namna ya kumpata Lissu ili waweze kumkabidhi barua yao mkono kwa mkono.Lissu sasa hivi hapatikana kirahisi na huo ndiyo msalaba wa tume.
 
Back
Top Bottom