johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ukute hata barua yenyewe ya wito hawajampelekea. Usicheze na TALNauliza tu kama Tume ya taifa ya uchaguzi imetoa tamko lolote kuhusu wito wa Tume kumtaka Tundu Lisu aripoti Dodoma kujibu tuhuma kadha wa kadha.
Ni muda sasa tangu mkurugenzi wa uchaguzi atutangazie wito huo na saa 48 za kisheria zimeshapita.
Ni hilo tu.
Maendeleo hayana vyama!
John, washauri waache kujiaibisha. Waachane na Lisu as long as hajafanya "maasi". Kampeni za siasa ndivyo zilivyo. Kama Gwajima amemuomba msamaha Mh. Pengo, na matusi kedekede aliyomtukana, sembuse haya ya siasa !Nauliza tu kama Tume ya taifa ya uchaguzi imetoa tamko lolote kuhusu wito wa Tume kumtaka Tundu Lisu aripoti Dodoma kujibu tuhuma kadha wa kadha.
Ni muda sasa tangu mkurugenzi wa uchaguzi atutangazie wito huo na saa 48 za kisheria zimeshapita.
Ni hilo tu.
Maendeleo hayana vyama!
Ilipokelewa pale UfipaUkute hata barua yenyewe ya wito hawajampelekea. Usicheze na TAL
Hiyo imepelekwa kwa wrong person na itakuwa na makosa kama ile ya Mambosasa. Kwa hiyo ni fake. Lisu haendi kusikiliza unaa...Ilipokelewa pale Ufipa
Bwashee mbona Mama Samia haendagi mapumziko yeye? Au yeye ni robot lakini mzee ni nyama?Nauliza tu kama Tume ya taifa ya uchaguzi imetoa tamko lolote kuhusu wito wa Tume kumtaka Tundu Lisu aripoti Dodoma kujibu tuhuma kadha wa kadha.
Ni muda sasa tangu mkurugenzi wa uchaguzi atutangazie wito huo na saa 48 za kisheria zimeshapita.
Ni hilo tu.
Maendeleo hayana vyama!
Nauliza tu kama Tume ya taifa ya uchaguzi imetoa tamko lolote kuhusu wito wa Tume kumtaka Tundu Lisu aripoti Dodoma kujibu tuhuma kadha wa kadha.
Ni muda sasa tangu mkurugenzi wa uchaguzi atutangazie wito huo na saa 48 za kisheria zimeshapita.
Ni hilo tu.
Maendeleo hayana vyama!
Wameona akienda atawaumbua. Maana ashasema NEC kwanza wamuite Magufuli atoe maelezo ya kutishia wapiga kura, kutoa ahadi za kiserikali, kutishia kuwachakaza Iringa kwa kodi ya mbao wasipochagua CCM, kutishia kuua watu kwa Kiu huko Bunda na jana Tunduma, na mauchafu kibaoooo ambayo mzee baba anafanya kwakosa la kutokuwa na meneja wakumshauri.Nauliza tu kama Tume ya taifa ya uchaguzi imetoa tamko lolote kuhusu wito wa Tume kumtaka Tundu Lisu aripoti Dodoma kujibu tuhuma kadha wa kadha.
Ni muda sasa tangu mkurugenzi wa uchaguzi atutangazie wito huo na saa 48 za kisheria zimeshapita.
Ni hilo tu.
Maendeleo hayana vyama!
Kwa dispatch??Ilipokelewa pale Ufipa
Hata Lisu yuko mapumziko hadi wiki ijayo!Bwashee mbona Mama Samia haendagi mapumziko yeye? Au yeye ni robot lakini mzee ni nyama?
Kabisa, Tumaini alisaini!Kwa dispatch??