NEC nao wamesitisha Wito wa Tundu Lisu kama polisi au bado wanamsubiria?!

sasa wewe wa jikoni kama hujui kinachoendelea sisi tutakusaidiaje, wasiliana na maherehere
 
Vp Yule aliyepeleka barua kwenye ofisi za CHADEMA akiwa na boda alifikia wapi!!!
 
Tangu tumepata uhuru na kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi Hatujawai kuwa na Mgombea Imara shupavu mbobezi na mwenye uwezo mkubwa kama Tundu Lissu.

Hawajui kuwa wanamuongezea umaarufu Lissu Walivyo wapumbafu wanajua wanamkomoa.

NI YEYE.2020
Mgombea mwalimu na mwenye msimamo na maamuzi dhabiti!!!
 
Wanavizia gani?

Tume wenyewe ndiyo wamempa ratiba na wanajua anakuwa wapi.

Kama wanayo wamfuate kwenye jukwaa la kampeni tena hapo wataonekana duniani kote wamemfikishia.

Ninachokijua Lissu ataisoma hapohapo mbele ya umati kabla hawajaondoka.

Tume wanavizia vizia namna ya kumpata Lissu ili waweze kumkabidhi barua yao mkono kwa mkono.Lissu sasa hivi hapatikana kirahisi na huo ndiyo msalaba wa tume.
 
Kama ngoma imemshinda Sirro, huyo bwana mdogo si ndiyo basi kabisa.
 
Maendeleo yana vyama kwa mujibu wa mgombea mmoja maana usipomchagua hupati maji na huduma nyingine za kijamii kutoka serikalini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…