Wanajaribisha kuona kama wapinzani wanatania au laWala wasihangaike na Ratiba, No Tume huru no Uchaguzi.
Mku wale ni chama kimeshajijenga miaka mingi sana. Unaweza pata tume huru na bado wakashinda uchaguzi sasa sijui utakasilikia hiyo tume huru?Tatizo la wananchi sio tarehe ya uchaguzi. Sisi shida yetu ni uchaguzi huru na wa haki basi.
Kisheri tunajua lakini tunataka tume itokane na uwakilishi wa vyama vya siasa , sio tume inayoteuriwa na mwenyekiti wa chama kimoja cha siasaKuna watu Neno tume huru liko midomoni mwao lakini hawajui maana ya tume huru kisheria
Sent from my iPhone using JamiiForums