Watanzania
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 727
- 44
Afadhali. Lakini bado hawajarekebisha kwenye tovuti. Ipi inaprevail kati ya maandishi na maelezo ya mdomo?
Slaa(PhD) huwa habahatishi
Imedhirisha NEC wasivyo makini, unategemea nini kazi wamepewa kina Miraji wana copy&paste wamesahau hizi figure walisevu wakati wanafanya mazoezi ya kuiba kabla ya uchaguzi
.................................MZIRAY KIKWETE SLAA....... LIPUMBA... RUNGWE MGAYWA DOVUTWA SPOILT..... Total
GEITA................ 505 ...17,792.. 3,789 ..1,042 ........51 ........18 ...........49......... 791...... 24,037
NYANG'HWALE. 505 ...17,792.. 3,789 ..1,042 ........51 ........18 ...........49......... 791...... 24,037
Nasikia Nanyumbu karibu jana wamuue mkurugenzi baada ya kuona matokeo yaliyotangazwa na tume ni tofauti na waliyoambiwa na mkurugenzi wakati akitangaza. Lakini bahati nzuri huyo mkurugenzi hayo matokeo alikuwa amebandika hata kwenye geti la nyumbani kwake na alikuwa na copy, ikabidi akawapigia tume mbele ya watu na kuwaambia mbona mmetoa matokeo tofauti na nilichowatumia, baada ya hapo tume walitangaza tena kukiwa na marekebisho!!!
napost iliyotulia