Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Naunga mkono hoja yako mkuu, kama wameiba kura watashindwa kugushi sahihi ya Mnyika?Tunasemaje ukimaanisha tuna imani na kinachosemwa na tume ama? Kama hiyo tume ilitoa matokeo ya kura za kwenye mabeg, sasa hii ndio it's sema ukweli? Cdm fukuza hao wahuni ili wao na tume wakajuane.
Dah sasa Tume inajiingiza katika kughushi nyaraka.NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020.
NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020.
Hatia anazo za kutosha lakini hatuna mahakama mkuuMahela ni wa kunyonga akipatikana na hatia
Ni taarifa ya uongo kabisaKamati kuu ilifanya uteuzi lini?
Ngoja Faru John arudi toka Nairobi aje akuambie walipeleta hayo majina labda utaamini sasa! Tumia akili kidogo mkuu siyo muda wote ni mapovu tuu!!Mahela ni wa kunyonga akipatikana na hatia
kwahiyo we unamwamini mahera kana kwamba ni mungu siyoTatizo lenu mnawaamini Sana viongozi wa chadema kana kwamba wao ni Malaika hapana
ila wewe ndio una ID fakin OGSasa unataka akuamini wewe ambaye una ID Fake kweli??
MkunduLE wewe, Maskini anayeishi chato anapata wapi nauli ya kuja nec kuthibitisha? Unafikiria kwa kutumia tundu la kutolea kimba nini? Aliyebeba kiwiliwili chako miezi tisa KAPATA HASARA SANAUlitaka waambatanishe na barua ya Mnyika? Si uende NEC kama unataka kuhakiki mkuu?
Mbona hamtaji Kwa majina huyo karibu mkuu wa CDM .... Weka hadharani hiyo barua ya katibu mkuuNEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020.
Kumbe waliwasikisha halafu yakakataliwa?Mbona NEC walikataa kupokea majina toka Chadema!
Hakuna kosa kubwa Tz kama kugushi sahihi ya mtu sasa kama NEC wamegushi mimi naomba Chadema wafungue kesi ya kugushi sahihi.
CHADEMA WAKIFUNGUA KESI NAOMBA MNITAG.
Kwenye saga lote hili aliyechafuka ni Chadema! NEC hajachafuka kiasi cha kuhangaika kujisafisha!Wamegushi sahihi yake hawa wapuuzi kutafuta namna ya kujisafisha
Hata hueleweki nafikiri utakuwa umevuta bhangi mkuu!MkunduLE wewe, Maskini anayeishi chato anapata wapi nauli ya kuja nec kuthibitisha? Unafikiria kwa kutumia tundu la kutolea kimba nini? Aliyebeba kiwiliwili chako miezi tisa KAPATA HASARA SANA
muda utafika atanyongwaHatia anazo za kutosha lakini hatuna mahakama mkuu
Mpuuzi wewe unajua nini?Kwenye saga lote hili aliyechafuka ni Chadema! NEC hajachafuka kiasi cha kuhangaika kujisafisha!
Usaliti ni usaliti uwe wa hadhara au siri. Futilia mbali wasalitiNEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020.
Pole! Umekasirika ndugu? Umeshindwa kuhimili jazba? Pole sana, taratibu utazoea tuMkunduLE wewe, Maskini anayeishi chato anapata wapi nauli ya kuja nec kuthibitisha? Unafikiria kwa kutumia tundu la kutolea kimba nini? Aliyebeba kiwiliwili chako miezi tisa KAPATA HASARA SANA